Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Hawajajifunza kwa yule mwenzao aliechomwa bisibisi sijui kisu? Siku ingine atakutana na raia mwepesi ataaibika.
 
Uko sahihi kabisa mia Kwa mia
 
Jamaa una midadi na mzoga wa FISADI LOWASA 😂😂😂

Sema hilo lijamaa nalo lina kiherehere sana, eti anapunga mkono!

Aliyepigwa ngumi anaonekana ni mfuasi wa CCM huyo amekaa kiboya sana linapunga tu mikono kama zuzu. HOW COME??

Yaani niache kulima bustani yangu ya nyanya niende nikasujudie mzoga wa FISADI LOWASA??? inaseekeeteshaa sana!
 
Mbona kama mpigwaji kaongeza chumvi ya matokeo la lile sumbwi. Yaani upigwe alafu unazima 100% bila hata kufurukuta mkuu.
Au imedisturb connection ya ubongo na kiwiliwili🙂🙂
 
Haijalishi ni CCM au upinzani kutii Sheria na taratibu bila shuruti kunahusu wote
 
Hii misiba tuwaachiage wenye fedha tuu ndo wawe wanashiriki
Hii kitu nimeona tangu juzi..
Kuanzia mwili unaagwa pale karimjee na jana pale kanisani Azania Front, Getini wanakuwepo askari polisi na watu wa usalama wanachuja watu wanaoingia na wanaruhusiwa vigogo wa serikali na watu maarufu au wanaofahamika tu, sasa najiuliza wakati mwingine hata kama msiba unakugusa kiasi gani lakini kama unajijua kabisa kwamba wewe ni wale wenzangu na mie kwa nini uhangaike kupeleka kiherehere kwenye misiba ya watu ukijua lazima utasumbuliwa au kuzuiwa kabisa kuingia msibani?
 
Hakuna lolote, nimeiangalia video nikagundua hiyo ngumi ni ya kawaida sana.

Hiyo sio ngumi ya kushindilia, ni ngumi ya ubapa ya kuangusha mtu. Ni ngumi ya ubapa wa mkono sio ngumi ya mkunjo wa kiganja.

Huyo mlevi ameanguka kwa sababu amepigwa bila kutarajia halafu alikuwa ametepeta sana, sio kwamba ameanguka kwa sababu ya uzito au ukali wa ngumi.

Kapolisi kenyewe kafupi kana kitambi cha machicha na shati lake la mtumba!!! Hana maajabu kabisa.

Cc Nyani Ngabu
 
Hakuna upendo usio na masharti tii Sheria na taratibu hapo katandikwa mtu mmoja tu mbona kukikuwa na maelfu kando ya barabara kuaga maiti mbona hakuna aliyewapiga vibao Wala ngumi kama huyo mmoja?
Una roho mbaya sana wewe na yawezekana wewe ni askari ndio maana mna vifo vyenye laana nyie.

Askar mwenye weledi na mafunzo kamili hawezi kufanya hicho alicho fanya huyo askari kilaza
 
Ha ha, wewe jamaa una IQ ya juu sana. Lazima unapigwa majungu Kila unapotafutia maokoto
 
Akifa watajijua ndugu zake sio big deal
Mbona FISADI LOWASA alivyokufa mkawashinikiza watanganyika wote watoe machozi na kuomboleza?

Kuna haja gani ya kuomboleza mzoga wa FISADI LOWASA wakati watanganyika wana majukumu ya msingi ya kufanya??

Naagiza kesho huo mzoga ufukiwe mara moja ili taifa liponywe moja kwa moja dhidi ya FISADI SUGU ukanda wa Afrika mashariki na kati.
 
Kwa hiyo mazoezi ya wavunja matofali ni kwa ajili ya kupiga walevi?
After all huyo kamaa haonekani kuwa threat kwa mwili wala wanaousindikiza mwili.
Kama angekuwa na thamani ilipaswa kipindi cha Uhai wake waipiganie na kulindwa hasa pale watu fulani walipokuwa wakimtusi kuwa ameji*** by the way siwezi nikaandika kashfa ma matusi dhidi yake, sababu ni kati ya wanasiasa ninaowaheshimu mchini kwa utulivu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…