Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Yes,una thamani zaidi.
Hakuna raia wa kawaida awezaye kupanda hiyo ndinga ilobeba mwili mfu.
 
Kwani mlinzi katumia silaha?
Watu lazima wajifunze itifaki ya misiba ya kitaifa. Anakwenda kulizuia gari ili iweje? Wafe na Lowassa?
Umeona amelizuia gari? Hakuwa na ndugu? Wananchi na sisi tuache ukondoo huyo mlinzi alikuwa wa kupigwa na nzengo nzima!
 
Hata kama alikuwa na nia mbaya huyo raia. Kun namna ya ku deal nae ili baadaye asaidie kwenye upelelezi. Rejeeni kwa yule mwamba aliyemshambulia regan kwa risasi . Pia rejeeni yule alemshambulia shinzo abe jinsi walivyomdhibiti ili akasaidie upelelezi. Ingekuwa wana apply tactics hii kwenye kila tukio wangekuwa wana miss vingi. Imagine hilo ni gari lililobeba mwili wa kiongozi mstaafu. What if angekuwa anamkaribia rais hvyo wangemfanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…