Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Nai-pin hii comment yako.
 
Kipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
 
Sijaelewa hata kama kulikuwa na Ulazima wa kumpiga hivi au angeweza tu kumsogeza pembeni kistaarabu

I hope yuko salama aliyepigwa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Your browser is not able to display this video.
 
Chadema endeleeni na maandamano huko mliko , mana si kwa ngumi hiyo huyo jamaa achukuliwe hatua
 
Kipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…