Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Screenshot_20240215_152240_Samsung Internet.jpg
 
Haya mabavu mbona wanashindwa kuyatumia kulinda nchi?,nchi imekua na mipaka ya ovyo kabisa yenye panya roads kila hatua 100,was totally unacceptable kwa mshenzi huyu kumpiga raia, tuelewe kama kuna tatizo atumie reasonable force sio unyama huu, na hapo hakuna yeyote maisha yake yalikuwa in danger, kenges kabisa
 
Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa lowasa msije mkapigwa ngumi za uso au Risasi. Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio walio mpenda.
Kweli vihere here! waachie akina Mwashambwa machawa wazike tu hata wakiuliwa!
 
Hii misiba ya vigogo walalahoi inawahusu nini? Acha vigogo wazikane wao kwa wao. Ona sasa mlalahoi katuangwa ngumu kizembe. Hawa vigogo wakifa tuwalilie na kuhuzunika pembeni mbali kabisa kujiepusha na dhakhma kama hizi
Kiherehere.

Wameenda kushangaa maiti ya FISADI LOWASA / LOW HASA.
 
Back
Top Bottom