Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Ndio wakome kwenda barabrani wakiambiwa tukaandamane hawatakai kujiyokeza ila kwenye msiba ya viongozi anakwenda kukaa barabarani Safi San afande
 
Kuna walinzi wengine sijui wanakua ni vichaa wamepewa kazi ya ulinzi sasa kulikua na haja gani ya kumpiga ngumi Kali kiasi hicho kwanini usimsukume kidogo tu pembeni daah mtu ha silaha unampiga kiasi hicho daah
Wanapewaga bangi nyingi sana
 
Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Analinda maiti isiuliwe tena. Hovyo kabisa huyu mlinzi
 
Hiyo Ngumi ni sahihi kabisa.

Kwanza kabisa watu wa ARUSHA ni wakorofi hiyo ipo wazi. Tusimlaumu MLINZI kwa kushusha NDOIGE kali kwa huyo Raia.

Unaweza kuta katumia sana BUSARA huko nyuma ila watu hawaelewi.. uvumilivu umemshinda.

Kwa tukio hili WATANZANIA MAELFU KWA MAMIA wamejifunza kuwa ktk misafara ya PSU etc.. usisogeze kiuno hapo utakuja KUFA.

Kuna ule usemi "USIOMBE UWE WA MFANO"
 
Back
Top Bottom