Raia Mwema: Mbowe na Lissu watofautiana kauli

Kupishana kauli ama kuwa na mitazamo tofauti juu ya jambo ama kitu fulani, ni kitu kizuri mno. Na wala hii haiwezi kuchukuliwa kama fukuto ama ugomvi katika ya viongozi hawa wa juu wa CDM.

Jambo lenye afya kwa chama ni kukubali kutofautiana kwa ajili ya maslahi mapana ya chama. Chama chochote kile ndani yake ni lazima kuwe na makada wahafidhina pamoja na wale wenye msimamo wa kati. Kwa hiyo basi kinapotokea ama kuibuka kitu ndani ya chama makundi haya mawili hayaachi kupishana kauli.
 
Hakuna kitu kama hicho, CHADEMA mnauziwa mbuzi kwenye gunia bila kujielewa hapana viongozi hapo.
 
Nimemsikiliza Lissu, hakika Raia Mwema limekuwa gazeti la udaku.
 
Tofauti ya Mawazo na mtazamo sio mtafaruku ndio Afya ya Demokrasia
 
Kuna Watu wa Ajabu sana Nchi hii Wakati wa KESI ya KIJINGA ya UGAIDI kuna KUNDI la Watu WALIKUWA Wakipita MITAANI na KUPAYUKA ETI MBOWE ni GAIDI.

Baada ya MUNGU kuwaumbua Waneanza Tena ETI MBOWE na LISSU Hawaelewani Tunawashauri WAWAPATANISHE mbona ni kazi RAHISI TU.

Ila tunachowaambia kama Yule Aliyetumia na RISASI kutaka kuwaua Viongozi wa Chadema na Magereza kutaka Kuwafungwa ALISHINDWA basi CHADEMA HAIFI TENA
 
Hivi huko ccm kutofautiana kauli ndio kutokuwa na maelewano? Mbona ni kawaida kwenye mtu zaidi ya mmoja kutofautiana kauli? na ili msonge mbele lazima kuwe na mawazo mbadala (kutofautiana kauli)
 
Samahanii Una uwezo mdogo sana wa kufikiri empty head
 
Maendeleo ya nchi hii yanaitaji raia wenye Akili timamu na sio Mbowe LISSu,na Samia hahahahaha hahahah hata Mimi nakuunga mkono
 
We jamaa mi nanywa Serengeti naomba ulipo agiza dhen nalipa
 
Hilo gaidi lako lilipochanja limesain mkataba wa kuishi milele?

We bwege.
 
Mara nyingi Magazeti mengi yanaandika habari nyingi kutoka hapa Jamii Foram.
Mfano soma Raia Mwema ya jana kwani hata ule urepoti wa keshi ya Mbowe Raia Mwema ilikuwa inaleta kama marudio kutoka Jamii Foram
 
Hawawezi kuwa sawa.

Mbowe ameonja uchungu wa uongozi hadi kasota jela miezi nane.

Lissu anaongea akiwa nje ya nchi, hana uhalisia wa chama.

Hata huo uongozi wa chama Lissu aachane nao

Katika maana ya kwamba uongozi wa chama ni wa mtu fulani au watu wa kutoka kwa akina Mamndenyi
πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Hivi Lissu katoa tamko lolote kuhusiana na Mbowe kutolewa jela??
 

Kwani kuutaka uenyekiti wa chama ni kukiuka misingi na miiko ya chama??? Mbona katiba yenu inampa kila mwanachama haki ya kuwania nafasi yoyote kwenye chama??
Anyways, Lisu embu kaa kando bana, haya mambo mengine wanasema ni sawa na kuonja sumu. Na sidhani kama uko tayari kuonja hiyo kitu.
 
Mimi sijachanja na sitachanja. Ntakufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…