Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

Halima na wenzake hawana chaguo jingine zaidi ya kwenda ACT au chama kingine cha upinzanj.

1) CHADEMA walikwishafukuzwa, hawatakiwi.

2) CCM aliyewapa ubunge alikwishafariki, na mlinzi wao kafukuzwa uspika, na ndani ya CCM, zile siasa za udikteta wa mtu mmoja zimepungua sana kiasi cha kutowapa uhakika wakienda huko watapata hata nafasi ya kuteuliwa kuwa wagombea wa ubunge.

Lakini kwa vyovyote, nafasi yao ya kuupata ubunge kwa njia halali ni finyu sana.

Kwa upande wa CHADEMA,nafasi yao ya kushinda majimbo mengi ya uchaguzi, hasa maeneo ya mijini, alimradi wawe na wagombea makini, ni kubwa kuliko chama chochote.
 
Umri humu ndani kwa hizi fake I'd unapimwa na hoja, kama hoja zako ni za kitoto huo ndio umri wako, hata kama una miaka 100.
Ahahahahah! Kwahiyo wewe ndio unatoa hoja mujarab humu sio? Ahahahahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…