Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.
Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.
Ester Bulaya naye kawajibu Raia Mwema: “Acha Kuandika Uongo watu wapo Kimyaa … nina Chama Kimoja tu ninachokipenda kinaitwa CHADEMA … Muda na Kunyamaza Ni Hukumu Nzuri sana . Endelea kula Mtori Nyama utazikuta Chini”.