Raia Mwema: Safari ya Halima Mdee na wenzake kuelekea ACT Wazalendo yaiva

Siku akihama urudi kwenye hii komenti kuomba msamaha. Time will tell. Ngoja tusubiri
Kwangu mimi wanasiasa wa upinzani kutukanana, kufukuzana, kuhama chama hiki na kuhamia chama kile na kurudi tena, kwangu mimi sio habari. Kama kwako na kwa Raia Mwema ni habari, basi sawa.
 
Lowassa alipohama ilikuwa habari? Mrema alipohama ilikuwa habari?
 
Nitakuwa wa mwisho kuyaamini maneno ya hao wanawake wawili waliohojiwa na gazeti na majibu waliyotoa.

Kwani hiyo njia wanayopita wao, ndio alipita mwanzilishi wa ACT wakati akiondoka Chadema, nae alijinadi kwa maneno hayo hayo, nitakuwa wa mwisho kuondoka Chadema, leo yuko wapi?

Hao wanawake wanajua vizuri, ile kesi yao mahakamani mwisho wake utafika na watashindwa, hivyo kuondoka Chadema kwao ni lazima, mimi pia naamini, hao wamama safari yao kuelekea ACT iko karibu sana, zimebakia siku chache sana.
 
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.

Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.

Ester Bulaya naye kawajibu Raia Mwema: “Acha Kuandika Uongo watu wapo Kimyaa … nina Chama Kimoja tu ninachokipenda kinaitwa CHADEMA … Muda na Kunyamaza Ni Hukumu Nzuri sana . Endelea kula Mtori Nyama utazikuta Chini”.

View attachment 2525791
Whether it's true or not.

Sioni mantiki yoyote.

Kwanza kijigazeti chenyewe kimechonga taarifa kutoka kwenye ki-tweet Cha juzi Cha Halima Mdee.
 
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.

Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.

Ester Bulaya naye kawajibu Raia Mwema: “Acha Kuandika Uongo watu wapo Kimyaa … nina Chama Kimoja tu ninachokipenda kinaitwa CHADEMA … Muda na Kunyamaza Ni Hukumu Nzuri sana . Endelea kula Mtori Nyama utazikuta Chini”.

View attachment 2525791
mwenzenu sijuwi ule mwendelezo wa kesi yao umefikia wapi.
 
Mdee atabaki chadema mpaka apate kiinua mgongo milion 300 za ubunge!

Kwa sasa anatengeneza mazingira ya huko aendako ila safari rasmi ni hadi bunge litakapovunjwa kupisha uchaguzi hiyo ni june 2025.
 
Wewe na Raia Mwema ndio wajinga na malimbukeni. Kwani Mdee akihamia ACT - Wazalendo kinakuuma nini? Mbona Lissu anaunga mkono ushoga na hawaandiki?
Lugha zingine mnatafuta matusi tuu. Lissu anaunga mkono ushoga kwani aliwahi kukuomba nyuma? Tabia zenu binafsi msiwasingizie wengine
 
Kwa jinsi Mdee alivyokuwa anashobokea migogoro ya wenzake ndani ya CDM,kweli hakuna anayeijua kesho yake!
Yeyr ndiye alikiwaga anaongoza kuwaita wenzake wasaliti yani mdee alikuwa anachukia watu hadi hataki kuwapa salamu.
Kweli hakuna ajuaye kesho
 
Nitakuwa wa mwisho kuyaamini maneno ya hao wanawake wawili waliohojiwa na gazeti na majibu waliyotoa.

Kwani hiyo njia wanayopita wao, ndio alipita mwanzilishi wa ACT wakati akiondoka Chadema, nae alijinadi kwa maneno hayo hayo, nitakuwa wa mwisho kuondoka Chadema, leo yuko wapi?

Hao wanawake wanajua vizuri, ile kesi yao mahakamani mwisho wake utafika na watashindwa, hivyo kuondoka Chadema kwao ni lazima, mimi pia naamini, hao wamama safari yao kuelekea ACT iko karibu sana, zimebakia siku chache sana.
Kesi ile mwisho wake ni hadi june 2025
 
Mdee atabaki chadema mpaka apate kiinua mgongo milion 300 za ubunge!

Kwa sasa anatengeneza mazingira ya huko aendako ila safari rasmi ni hadi bunge litakapovunjwa kupisha uchaguzi hiyo ni june 2025.
Kwani CDM ndio watakaomlipa kiinua mgongo.
 
Gazeti la Raia Mwema linaandika, aliyekuwa mwanachama wa Chadema na Mwenyekiti wa BAWACHA na wenzake 18 wanatarajia kujiunga na ACT Wazalendo muda wowote kuanzaia sasa na watazunguka Tanzania nzima kukinadi.

Yeye asema, Kwa hiyo tukitambua jambo jema linalofanywa na wenzetu, ni ‘kuinyatia’? Uzuri hata mwandishi (Mmiliki wa gazeti) anajua Chama changu, ni suala la muda tu. Kama ingekuwa kutambua zuri la wengine ni ‘kunyatia’ basi tuna wanyatiaji’ wengi sana nchi hii.

Ester Bulaya naye kawajibu Raia Mwema: “Acha Kuandika Uongo watu wapo Kimyaa … nina Chama Kimoja tu ninachokipenda kinaitwa CHADEMA … Muda na Kunyamaza Ni Hukumu Nzuri sana . Endelea kula Mtori Nyama utazikuta Chini”.

View attachment 2525791
Mikoa MINANE na wala siyo nane. Msiborongee lugha yetu
 
Lugha zingine mnatafuta matusi tuu. Lissu anaunga mkono ushoga kwani aliwahi kukuomba nyuma? Tabia zenu binafsi msiwasingizie wengine
Nipo tayari kutestfy mahakamani. Mtaarifuni Kibatala tukutane huko.
 
Back
Top Bottom