Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

Nina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu , kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi .

Chanzo : Raia Mwema

Swali : Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje ?
Jitu la Puerto Rico lishashiba aibu sana, and probably he was excellently advised not to advance this but he arrogantly rejected because they had bankrupted/empted the Treasury. Wameshafukia mashimo.
 
Mwigulu Nchemba alitoa kauli mbaya sana na yenye utata juu ya kulipa tozo.

Sasa kama amependekeza zifutwe baada ya malalamiko ya watanzania aliowakebehi wahamie Burundi . Kistaarabu kabisa si alitakiwa ajiuzulu?
20220919_042442.jpg
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu , kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi .

Chanzo : Raia Mwema

Swali : Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje ?
Timing? CC ya Chadema ilikuwa baada ya kikao kinachoendelea itoe misimamo kuhusu tozo?
 
Back
Top Bottom