Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timing? CC ya Chadema ilikuwa baada ya kikao kinachoendelea itoe misimamo kuhusu tozo?
Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozoNina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute.
Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu
Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozo
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
[emoji38][emoji38][emoji38]Lini zinafutwa?