Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

CCM ikitaka heshima irudi wamuondoe Mwigulu.
Mama akimuondoa huyu na kukuweka mtu mwenye uelewa heshima ya CCM na serikali yake itarudi
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu , kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi .

Chanzo : Raia Mwema

Swali : Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje ?
Kabla ya hilo swali, aliyesema yeye ndiye ameleta tozo na kama hatutaki tuhame nchi tunataka kumwona akiondoka yeye kwakuwa ilikuwa atakayeshindwa aondoke na sasa yeye ndiye kashindwa
 
Huyo Mwigulu aliyeuonja utamu wa tozo mpaka kutuambia tusiozitaka tuhamie Burundi sidhani kama atazifuta hizo tozo, japo baadhi yao zimeshawaneemesha lakini bora wazifute tu.
 
Incompetence at work, ili nadharia ifanye kazi inahitaji research na data na kuna wakati unazitumia hizo data kufanya simulation, ikiwork ndio unaipeleka ikafanye kazi. Sasa unataka kuleta nadharia za shule into real business, then you https://jamii.app/JFUserGuide-off people.
 
Nina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute.

Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu
Wanapandisha halafu nje wanakopa
 
Hizi siasa tozo zitabadilishwa njia ya kuzipata lakini haziwezi kufutwa. Ni matakea ya mabeberu tukusanye hela zaidi ndani tulipe mikopo

Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
 
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu , kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi .

Chanzo : Raia Mwema

Swali : Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje ?
Na zirudi kweli
 
Back
Top Bottom