Ubena Zomozi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,608
- 1,286
Itakua safi sanaHii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
hapa umesema ukweli.lazima watafute chanzo kingine cha kutukamua kwa jina jingine sababu kwenye walikuwa wanapata fedha nyingi na lazima mapato hayo yatafutiwe chanzo kingine.Nina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute.
Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu
Bila Mwigulu kuwajibishwa kwa kusimamia zoezi la kuwaibia wananchi kupitia tozo hamna kitu. Pesa walizoiba lazima zirudishwe kwa wenyewe.Mtajijua na liCCM lenu.Chama cha wachawi.Go to hell!
Mikopo itaziba pengo.Hizi siasa tozo zitabadilishwa njia ya kuzipata lakini haziwezi kufutwa. Ni matakea ya mabeberu tukusanye hela zaidi ndani tulipe mikopo
Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
Umeitikia kama wale wamama wa Chadema waliolewa mbege na vikofia vyao vya M4C.wacha weee !!!
Waturudishie hela hizo!Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
Sawa ngoja tuone.Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
Ex wako anaingiaje Tena kwenye habari hii? Ujinga huu.Kuna ex wangu anafanya kazi TRA alishawahi kuniambia hakunaga kodi inayofutwa hata siku moja. Ni kwamba inatolewa hapa inawekwa pale. Tozo zitafutwa ila zitachomekwa kwingine.
Hujaelewa nini?Ex wako anaingiaje Tena kwenye habari hii? Ujinga huu.
Ulishindwa hata kuandika ndugu yangu au kaka yangu instead of Ex?
Sahau kuhusu kurudisha.Zimeenda kujemga shule,zahanati nk htkusikia?Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
[emoji23][emoji1787]WESENNGE TU IZO TOZO ZIMEPITIZWA NA BUNGE?
Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata Yaa
Yaani penalty wasababishe wao,halafu penalty wapige wao na points 3 wachukue wao πππHii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
Ndugu yangu TUJITEGEMEE, kweli uvumilvu una mwisho...sikutegemea kabisa hata wewe kuna siku utaonesha kuishangaa serikali ya CCM na kukiri uovu kama huu dhidi ya Watanzania wenzako.Waturudishie hela hizo!
Siku ya mwisho kila goti litapigwaNdugu yangu TUJITEGEMEE, kweli uvumilvu una mwisho...sikutegemea kabisa hata wewe kuna siku utaonesha kuishangaa serikali ya CCM na kukiri uovu kama huu dhidi ya Watanzania wenzako.
Anayedai kuwa na PhD ya heshima katika uchumi katu hawezi kubuni wizi kama huu dhidi ya wananchi ambao amebahatika kuwa kiongozi wao.
La pili hizo pesa zilizopatikana kwa njia hii ambayo hata yeye baada ya kuzidiwa hoja kakiri pengine haikuwa halali, je tulioibiwa tutarudishiwa?
Mtaalamu wa uchumi mwenye PHD hawezi kukata eti tozo kwenye akiba iliyo benki. Benki ndiyo inatakiwa imlipe faida kwa kutumia pesa zake kama mtaji.
Mtaalamu wa uchumi mwenye PhD hawezi kukata tozo kwenye hela iliyokatwa kodi zaidi ya mara moja, huo ni wizi na hata sheria za kodi haziruhusu kamwe.
Mtaalamu wa uchumi mwenye PhD hawezi kukosa uzalendo kwa taifa lake na kuwatishia wananchi ambao ndio walipa kodi wahamie Burundi kama wanahoji tozo.
Mtaalamu wa uchumi mwenye PhD, anayethubutu kubuni mbinu chafu kama alivyofanya Mwigulu, ni kuvuliwa hiyo PhD yake ya heshima na kuchunguzwa aliipataje?
Mkuu, kwa kurejea msemo wa wananzengo, saa yako mbovu kuna wakati saa hiyo hiyo huwa inakuonyesha muda sahihi. Ha ha hahahaha AA!Ndugu yangu @TUJITEGEMEE, kweli uvumilvu una mwisho...sikutegemea kabisa hata wewe kuna siku utaonesha kuishangaa
Na zikifutwa kweli bado Kuna watu watalaumu Tena, hii Nchi ngumu sanaHii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi.
Chanzo: Raia Mwema
Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?