butron JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,640 Reaction score 7,943 Sep 19, 2022 #61 Naishauri serikali tozo iamishiwe kwenye maji ya kuoshea maiti ili twakomeshe wavuvi Kuhifadhia samaki maji ya maiti😁😁 Utasikia kutoka kwa Mwenyekiti"Hili nalo muende mkalitizame,mwanangu Mwigulu na timu yako"
Naishauri serikali tozo iamishiwe kwenye maji ya kuoshea maiti ili twakomeshe wavuvi Kuhifadhia samaki maji ya maiti😁😁 Utasikia kutoka kwa Mwenyekiti"Hili nalo muende mkalitizame,mwanangu Mwigulu na timu yako"
mangikule JF-Expert Member Joined Jun 11, 2012 Posts 6,369 Reaction score 5,866 Sep 19, 2022 #62 Kamati kuu ya Taifa ndio mhimili mkuu! yameanza kubwabwaja baada kuona makamanda wa vita wako vikao vya kimkakati Kididimo said: Timing? CC ya Chadema ilikuwa baada ya kikao kinachoendelea itoe misimamo kuhusu tozo? Click to expand...
Kamati kuu ya Taifa ndio mhimili mkuu! yameanza kubwabwaja baada kuona makamanda wa vita wako vikao vya kimkakati Kididimo said: Timing? CC ya Chadema ilikuwa baada ya kikao kinachoendelea itoe misimamo kuhusu tozo? Click to expand...
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Sep 19, 2022 #63 Wazifute kama walivyoazisha! wanataka maoni kwani wakati wanaazisha walitutaka maoni?
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Sep 20, 2022 #64 Teko Modise said: Nina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute. Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu Click to expand... Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozo
Teko Modise said: Nina wasiwasi tozo zitarudi kwa jina jipya la kodi, yaani tutapandishiwa kodi mpaka tujute. Mwl Nyerere aliwahi kusema, mtu akila nyama ya binadamu ni ngumu kuacha, washazoea utamu wa pesa sidhani kama wataacha hivi hivi lazima watukamue tuu Click to expand... Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozo
Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Sep 20, 2022 #65 Eng. Zezudu said: Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozo Click to expand...
Eng. Zezudu said: Ni Bora , kuliko kuzugia kwenye tozo, Kodi ni Ile Ile hata ikiitwa tozo Click to expand...
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jun 22, 2023 #66 Erythrocyte said: Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje? Click to expand... Lini zinafutwa?
Erythrocyte said: Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje? Click to expand... Lini zinafutwa?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 22, 2023 Thread starter #67 King Kong III said: Lini zinafutwa? Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38]