Yakithibitika nipeni tasrifa niungane na mabodboda wenzangu tuendeshe toka hadi chato kuadhibu lile kaburi la hitler"Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40
The almighty God who is above everything, aliona haya yote kuwa yametosha na yakatokea hayo. Naanza kuona kwa nini serikali ilisema watu wasifanye sherehe wakati wa maombolezo! Lakini mwendazake hakuyajua hayo.Eti kama mwenda zake angekuwepo hadi leo, huyu mtu angeliendelea kubaki kwenye uongozi kama vile hakijatokea kitu, World is not fair at all.
Tukio lenyewe ni jinai ila kwa kuwa uteuzi ulikuwa wa kisiasa na nguvu ya kisiasa ndiyo ilimlinda, basi siasa haiwezi kuwekwa kando kabisaHili tukio la Sabaya CHADEMA mmelivalia njuga, mnalifanya limekuwa kama la kisiasa sana.
Waongo hao wanatafuta kiki wapuuze.Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka).
Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa kwenye Bar yoyote alikuwa anang'ang'ania mwanamke yeyote aliyemtaka na kuondoka naye kwenye Hotel yoyote na kumfanyia ukatili alioutaka huku akilindwa na Polisi na Mabaunsa wake.
Tutaendelea kuwaletea uhalifu wa huyu jamaa kwa kadri unavyotufikia bila kuedit chochote .
Endelea kututegea sikio.
---
Ukiingiza siasa, Sabaya anachomoka.Tukio lenyewe ni jinai ila kwa kuwa uteuzi ulikuwa wa kisiasa na nguvu ya kisiasa ndiyo ilimlinda, basi siasa haiwezi kuwekwa kando kabisa
Tangu mwaka 2012, tupatieni mrejesho, liliishaje?Hivi unamjua flora lyimo vizuri? FL ni kichaa yule na michupi yake.
Tangu mwaka 2012, tupatieni mrejesho, liliishaje?
Mkuu una maanisha sisi, baadhi ya Watanzania, tunamwonea jamaa wivu, na huo wivu unatutesa, kwa sababu ya yeye kubaka wanawake 40?!Wivu tu na roho mbaya za Baadhi ya watanzania zinawatesa sana..
Sasa ndo vizuri?! Si mnataka mume wenu achomoke?! CHADEMA inawasaidia tu, kumchoa kisiasa!Ukiingiza siasa, Sabaya anachomoka.
Hakuna namna yoyote mfumo alioutumikia Sabaya, ukawasaidia CHADEMA kulipiza kisasi kwa Sabaya.
Jiwe walikuwa wanampatia ukiongea nae mwambie habari yakununua Chadema kesho tu anakupandisha cheoCha kusikitisha ni kwamba mwendazake alikuwa akifurahishwa na watu wakatili kwa matendo yao dhidi ya binadamu wengine.
Na hii ndiyo sababu ya vyombo vya habari kuminywa uhuru wao.
Unajua burn aliyopewa Bashite yakutokwenda Marekani? hayo yote ni majambaz tuDuh! Afadhali Bashite, yeye alipora pesa na mali, haya ya ukatili na ubabe wa kutisha kwa kina dada na mama yanatisha, tusubiri tuone ukweli...
Anapotea kwenye ulingo kisiasa ki "bashite" style!
Kweli "politics is a dirty game"
Kwahiyo wale wa bar Ni wakubaka tu? Hujui Ile ni kazi tu, na wengine mmewatelekeza ndio wakatafuta kaxi bar?Wanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!