Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Wanawake wenyewe alikuwa anawakuta Bar!
Wanaume wa hai kilimanjaro?Amekula wanaume wenzake
Hapa alikuwa anazingua sana, miaka ile akiwa UVCCM aliwazuzua sana mabinti wa vyuo na kitambulisho chake hicho....Watu wa Arusha wanamfahamu vyema Sabaya. Alipokuwa mwenyekiti tu wa UVCCM Arusha watu walinyooka.
Yeye kuingia hotelini na demu halafu asilipe ni kitu cha kawaida. Aliwadhulumu kwerii kwerii wenye mahotel.
Ukimdai anatoa kitambulisho cha TISS kuwa yeye ni UNDERCOVER.
Tunasema hivi , KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKEMoja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.
Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.
"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.
Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.
Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"
My Take
Chanzo cha haya yote ni John Magufuli. Yeye alidhani anamkomoa Mbowe kumbe anagongewa watanzania wanyonge
Hivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Alikuwa anapewa mkoa mzima ilikuwa swala la muda tu,kwa kweli bila Sir God kuingilia kati tulikuwa tumekwishaMwenyezi Mungu fundi sana. Bila kumchukua yule dhalimu huyo mhuni Sabaya angeendelea na dhuluma na udhalimu wake kwa miaka mingi sana.
Hili ni kosa linalofaa kumpa Sabaya kifungo cha maisha.Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali
Cha kusikitisha ni kwamba mwendazake alikuwa akifurahishwa na watu wakatili kwa matendo yao dhidi ya binadamu wengine.Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.
Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.
"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.
Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.
Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"
My Take
Chanzo cha haya yote ni John Magufuli. Yeye alidhani anamkomoa Mbowe kumbe anagongewa watanzania wanyonge
Ndugu zangu, taratibu Watanzania mtaelewa kwa nini baadhi yetu tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea huyo dhalimu. Ndege wafananao huruka pamoja na mwendazake alijua fika anawateua viongozi wa namna gani kumwakilisha yeye kwenye wilaya na mikoa. Ni Tanzania ya Magufuli tu wawakilishi halali waliochaguliwa na wananchi walikuwa wakiswekwa hovyo ndani na kudhalilishwa na wateule hawa wahuni jinsi walivyopenda.Mwenyezi Mungu fundi sana. Bila kumchukua yule dhalimu huyo mhuni Sabaya angeendelea na dhuluma na udhalimu wake kwa miaka mingi sana.
Kwa hiyo kwako wewe usie Chadema, yote anayotuhumiwa nayo si sahihi kuyavalia njuga. Nilidhani Mtanzania kumbe utaifa wako ni M-Ccm.Hili tukio la Sabaya CHADEMA mmelivalia njuga, mnalifanya limekuwa kama la kisiasa sana.
CHADEMA mko desperate sana, yaani Mnavuruga kabisa
Sabaya aliwahi nipokonya dem tukiwa The Don ArushaMoja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.
Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.
"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.
Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.
Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"
My Take
Chanzo cha haya yote ni John Magufuli. Yeye alidhani anamkomoa Mbowe kumbe anagongewa watanzania wanyonge
Aisee [emoji2357]Kawafumua sana wadada kwa kuwachukua kwa ubabe,alikua akiingia club wanasepa mana wanamjua
Hii sio utani kabisa, pale Billy's River wanamkumbuka vizuri sana, alikuwa akiingia tu basi mademu wote wakali wakali wanasepa kwa makundi kabisaKawafumua sana wadada kwa kuwachukua kwa ubabe,alikua akiingia club wanasepa mana wanamjua
Huyu jamaa vitendo alivyokuwa akifanya (huku akiungwa mkono na mwendazake) ni vya kinyama sana. Kuondoka kwa JPM kumeibua mengi. Hivi JPM angeendelea kuwa hai hadi leo ni wananchi wangapi wangedhulumiwa na hili jangili la kimasai? Ngoja likanyee debe akili zilikae sawa.Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.
Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.
"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.
Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.
Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu Jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu, atafikishwa mahakamani"
Apimwe akili na akipatikana na hatia funga maisha mambo yaishe tuendelee na mengine.Mkuu hii kesi kwanini iko TAKUKURU na siyo polisi? Kwa maoni yangu TAKUKURU haihusiki hata chembe na hii kesi.