TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa kisingizio cha kwamba amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.
Soma Pia: Siku hizi matapeli wanatapeli hadi wa Wakuu wa Mikoa? Kuna huyu kakamatwa na RC wa Tabora alikuwa anajifanya ni Mchengerwa
Soma Pia: Siku hizi matapeli wanatapeli hadi wa Wakuu wa Mikoa? Kuna huyu kakamatwa na RC wa Tabora alikuwa anajifanya ni Mchengerwa