Raia wa Burundi akamatwa kwa kujifanya msaidizi wa Rais Samia

Raia wa Burundi akamatwa kwa kujifanya msaidizi wa Rais Samia

Kabisa , unatakiwa umepenye sehemu watu wengi wanapo paogopa, kuna mwamba alipita na pesa za shirika fulani za kuzuia na kupambana na rushwa walizo kuwa wanamtegea kumkamata akipokea rushwa😅😅😅😅
Khaaaa😂😂😂
Hizo ndo level za confidence zinazotakiwa sasa. Zile hela watu huwa wanaziogopa balaa, ila huyo yeye ndo kaziwekea mpango😂
 
amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.
Ni kweli Raisi ametoa 2B kukamilisha ujenzi wa kanisa ?

Hii pesa imetoka wizara gani ?

Kwanini pesa yote hii isitumike kwenye mambo ya muhimu kama elimu au afya ambayo yanagusa maisha ya kila siku ?

Huko kanisani si tayari kuna sadaka. Zinaenda wapi ?

Daah 2Billion kweli huyu mama hajali kabisa, kila mtu analishwa kwa urefu wa kamba yake .
 
Khaaaa😂😂😂
Hizo ndo level za confidence zinazotakiwa sasa. Zile hela watu huwa wanaziogopa balaa, ila huyo yeye ndo kaziwekea mpango😂
Kuna watu wanaroho ngumu acha kabisa , mwingine kapewa ,milioni mbili akafuate geneza, watu wanamsubiri mochowary yeye kaenda kupoa bar ana mwagilia moyo na pesa za geneza na malaya wawili pembeni .
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa kisingizio cha kwamba amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.

Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/1HcPDXycYt/

Tabora kuna mandezi wengi sana ndio maana matapeli wamepiga kambi huko
 
Asee mkoa wa tabora umekaa kama kushoto lakn NIMEGUNDUA KUNA WATU wana confidence ya ajabu SANA kwenye utapeli

Kuna jamaa alimtapel mkuu wa mkoa kujifanya yeye n wazir wa AFYA bwana mchengerwa

Leo huyo ndez Toka Burundi naye anajaribu bahat yake

Kunani tabora
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa kisingizio cha kwamba amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.

Soma Pia: Siku hizi matapeli wanatapeli hadi wa Wakuu wa Mikoa? Kuna huyu kakamatwa na RC wa Tabora alikuwa anajifanya ni Mchengerwa

View attachment 3584846
Hatari sana ,watu wapo MBELE yA MUDA.


Lafudhi itakuwa imemyeyusha ndiyo maana akastukiwa.
 
Kuna boda mmoja aliniuliza sasa tukiogopa tutapataje pesa?

Na hapo ni nilimpa kibanda cha chuma cha money transfer akitoe kinondoni apeleke Tabata.
 
Back
Top Bottom