TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Watu wana ma confidence balaa!Aisee watu wapo njee ya mda
Na bila confidence kutoboa unasahauWatu wana ma confidence balaa!
Huyu ni genius sana sema ndio hana ajira akaamua kujiongezaWatu wana ma confidence balaa!
Lazima anafanya kazi na mtu from the insideAnapata wapi info za izo barua. Kuna mtu ndani.
Ndo hivyo, lazima uwe na ma confo. Bila hivyo, hata uwe na akili kiasi gsni, hutoboi!Na bila confidence kutoboa unasahau
Hahahaha😂😂Huyo ni mwenzetu tuliyehamia naye Burundi wakati ule Mwigulu Nchemba alipotuambia tuhamie kule.
🤣🤣🤣Hii nchi ina
vijimaMBOO....
Hata taarifa za ndani anapata hukohuko kwa wanene.Hakyanane tena!Hahahaha😂😂
Kabla hatujahamia jamaa kaijia chake kabisa.Huyo ni mwenzetu tuliyehamia naye Burundi wakati ule Mwigulu Nchemba alipotuambia tuhamie kule.
Bongo mipango mingi, hata mhuri wa Ikulu unapata🤣Hata taarifa za ndani anapata hukohuko kwa wanene.Hakyanane tena!
Kabisa , unatakiwa umepenye sehemu watu wengi wanapo paogopa, kuna mwamba alipita na pesa za shirika fulani za kuzuia na kupambana na rushwa walizo kuwa wanamtegea kumkamata akipokea rushwa😅😅😅😅Ndo hivyo, lazima uwe na ma confo. Bila hivyo, hata uwe na akili kiasi gsni, hutoboi!
Hahaha!!🤣Kabla hatujahamia jamaa kaijia chake kabisa.
Sasa anashangaa kukutana na "mikwaju ya mama"! Siyo fair!Kabla hatujahamia jamaa kaijia chake kabisa.