TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
- Thread starter
-
- #21
KhaaaaπππKabisa , unatakiwa umepenye sehemu watu wengi wanapo paogopa, kuna mwamba alipita na pesa za shirika fulani za kuzuia na kupambana na rushwa walizo kuwa wanamtegea kumkamata akipokea rushwaπ π π π
Ni kweli Raisi ametoa 2B kukamilisha ujenzi wa kanisa ?amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.
Kuna watu wanaroho ngumu acha kabisa , mwingine kapewa ,milioni mbili akafuate geneza, watu wanamsubiri mochowary yeye kaenda kupoa bar ana mwagilia moyo na pesa za geneza na malaya wawili pembeni .Khaaaaπππ
Hizo ndo level za confidence zinazotakiwa sasa. Zile hela watu huwa wanaziogopa balaa, ila huyo yeye ndo kaziwekea mpangoπ
Tabora kuna mandezi wengi sana ndio maana matapeli wamepiga kambi hukoJeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa kisingizio cha kwamba amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.
Video: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1HcPDXycYt/
Ila wa hivi uwa wanapigwa viboko mpaka pombe zenyewe wanazitapika .Kuna watu wanaroho ngumu acha kabisa , mwingine kapewa ,milioni mbili akafuate geneza, watu wanamsubiri mochowary yeye kaenda kupoa bar ana mwagilia moyo na pesa za geneza na malaya wawili pembeni .
Na drama zinampenda piaππHuyu RC anapenda drama sana.
πkitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini
KabisaππIla wa hivi uwa wanapigwa viboko mpaka pombe zenyewe wanazitapika .
Hatari sana ,watu wapo MBELE yA MUDA.Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora limemkamata Gadiel Lameck Mtema (45) raia wa Burundi kwa tuhuma za kujifanya msaidizi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kitengo cha maombi ya ufadhili na udhamini na kufanya jaribio la kuwatapeli shilingi milioni 15 viongozi wa kanisa la EAGT Kidatu mkoani humo, kwa kisingizio cha kwamba amewapambania wapate bilioni mbili za kumalizia ujenzi wa kanisa lao kutoka kwa Rais hivyo wanapaswa kumpa shukrani.
Soma Pia: Siku hizi matapeli wanatapeli hadi wa Wakuu wa Mikoa? Kuna huyu kakamatwa na RC wa Tabora alikuwa anajifanya ni Mchengerwa
View attachment 3584846
Na hili tulifikilie pia maana chacha naye anashida zakeHuyu RC anapenda drama sana.
Japo matapeli wataqnza kupaogopa Tabora maana daily yeye anawadaka tu .Na drama zinampenda piaππ