Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Kutoa taarifa za uongo katika uombaji visa n kosa tosha kukufanya ukataliwe kuishi nchini pindi liking'amuliwa.Amefanya uhalifu gani??! Je huo uhalifu ni wa kidini? Au ni chuki zako binafsi?