Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

Raia wa Iran afukuzwa Tanzania baada ya kuwa tishio kwa usalama wa taifa

Commissioner Mahirane said after the arrest of the Iranian nation and interrogated thoroughly, it was confirmed that he was a criminal who was determined to plan and carry out activities that could endanger the security of the country and that of other nations.
Yani wewe jamaa....Au basi.
 
Mnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila tatizo lenu liko hapa

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
1-Samuel-15-3(4).jpg
 
Bora dini inayofundisha kudharau kuliko inayofundisha kuua kabisa, maandiko kama haya kwenye vitabu vya kidini ndio tatizo linaloisumbua dunia ya leo

1589626440983.png

Screenshot_20220613_123226.jpg
 
Kwani hizo activities lazima ziwe za kidini au kigaidi? Je kama ni wizi au espionage?
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi lazima ahusishe na udini, ukichunguza taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu kukamtwa kwa huyo Muirani ni tofauti na udaku aliyoweka kwa lengo la uchochezi na nashangaa sana Moderator wanamchekea sana huyu kiumbe..
 
Nafikiri kuna dini zinafifisha hata uwezo wa kufikiri....sijui sana lakini
Dini zote zinafifisha uwezo wa akili. Psychologists/Neoroscientists wanatakiwa waifanyie research hii phenomenon
 
Hehehe napenda namna huwa mnalaumu Marekani na Israel kwa kila pumba zenu...
Ishini na binadamu wenzenu kwa amani, abuduni huyo mnayemuabudu bila kuchokonoa wenzenu, sema tatizo liko kwenye maandiko yenu kwamba muwavuruge wasio wa imani yenu, hapo ndio huwa kero.

Khe! Na hakika wewe kweli ni propagandist mwenye roho chafu na nia mbaya. Wewe mtu mmbaya na hatari sana.

Yani mpaka unataka kutia watu chuki humu na kuwagawanya kwa sababu ya propaganda za Marekani. Mbona umeingiza dini? Mwanzo Mimi ni Mkristo.

Na imeniuma sana kuona unataka kuwachafulia jina Waislamu kwa jambo lisowahusu.

Mbona umeandika hiyo kasumba yote? Unapata manufaa Gani?
 
Mtoa habari pia ni mtu uliye jawa na udini wa kupindukia, udini pia ni adui wa taifa tena ni chanzo cha uvunjikaji wa amani katika nchi yetu (udini, ukabila).
Sijazungumzia bado kuhusu source ya habari yako!! Umeitoa wapi??.

Watu wa dini za kimapokeo wote mnaushamba sana tena afadhali hata hao waislamu naonaga kidogo wanajitahidi kufuata mambo yao kuliko christians.

Amkeni wa Africa, dini ni tamaduni za watu tu, fanyeni matendo yalio mema inatosha.
hata wewe una udini umesifia dini moja dhidi ya nyingine huna lolote 😎
 
Huyu jamaa nyuzi zake nyingi lazima ahusishe na udini, ukichunguza taarifa iliyotolewa na serikali kuhusu kukamtwa kwa huyo Muirani ni tofauti na udaku aliyoweka kwa lengo la uchochezi na nashangaa sana Moderator wanamchekea sana huyu kiumbe..
Nakuunga mkono. Huyu jamaa ni hatari sana. Naona atolewe. Nyuzi zake zote lazima atie watu chuki. Na pia nimeona yeye Kila mara nyuzi zake zinasukuma propaganda humu. Mimi ni Mkristo na nimihisi uchungu sana
 
Asante sana serikali ..gaidi limedhibitiwa..haya ndio huja kujifanya inajenga misikiti kumbe ndio inafundisha vijana wetu chuki na itikadi kali za kidini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono. Huyu jamaa ni hatari sana. Naona atolewe. Nyuzi zake zote lazima atie watu chuki. Na pia nimeona yeye Kila mara nyuzi zake zinasukuma propaganda humu. Mimi ni Mkristo na nimihisi uchungu sana
Mada zake nyingi habari zinakuwa kweli ila lazima aweke maneno yake binafsi au kuandika heading ya upotoshaji na uchochezi hapo anakosa uadilifu ndio maana mara nyingine naona mods wanabadilisha heading na kuedit nyuzi zake.

Jambo hili ni hatari, linazua taharuki pamoja na kuleta mijadala ya kidini isiyo na faida humu..
 
Sasa idara ichukie mtu mmoja mpaka kumfukuza. Penye ukweli tuambiane tu kuwa mafunzo ya dini ya uislam yana walakini ndo maana ugaidi 80% umeigusa dini ya allah.
wazungu/wakiristo wanao tengeneza misiraha/mabomu wanatengeza kwaajili gani wee pimbi?. mabomu kazi yake nini? kuimbia kwaya kanisani au? bundukije? wee ni pimbi.
 
kama kungekuwa na uhalifu mbona hamjamshitaki na je uhalifu gani kaufanya,? je yeye anasemaje labda hamkuelewana
 
Bora dini inayofundisha kudharau kuliko inayofundisha kuua kabisa, maandiko kama haya kwenye vitabu vya kidini ndio tatizo linaloisumbua dunia ya leo

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”

na hisi wewe ni shoga
 
Back
Top Bottom