jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ukristo na uislam ipi dini ya kwanza??ipi iliyokuja baada ya mwenzake.??Mzungu ni mzungu tu akipanga mipango yake kwa wajinga lazima afanikiwe
Kwanza wametengeneza dini ya ukristo wakakuleteeni
Pili wakakujazeni ujinga kuwa uislam ni dini ya ugaidi
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app