Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,203
- 1,422
Kutoa taarifa za uongo katika uombaji visa n kosa tosha kukufanya ukataliwe kuishi nchini pindi liking'amuliwa.Amefanya uhalifu gani??! Je huo uhalifu ni wa kidini? Au ni chuki zako binafsi?
Kutoa taarifa za uongo katika uombaji visa n kosa tosha kukufanya ukataliwe kuishi nchini pindi liking'amuliwa.
Kwahiyo waislam wote wauawe au wafukuzwe duniani maana wote wanatumia verse hizoMnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila tatizo lenu liko hapa
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Hayo yameandikwa kwenye source baandiko lako? Kwanza hata tuna uhakika huyo mhalifu ni muislam?? Au umeangalia jina na nchi tu ukahitimisha ni gaidi?Mnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila tatizo lenu liko hapa
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Sawa sasa mbona mtoa mada anasemea maswala ya ugaidi wa kidini?Kutoa taarifa za uongo katika uombaji visa n kosa tosha kukufanya ukataliwe kuishi nchini pindi liking'amuliwa.
Hayo yameandikwa kwenye source baandiko lako? Kwanza hata tuna uhakika huyo mhalifu ni muislam?? Au umeangalia jina na nchi tu ukahitimisha ni gaidi?
Sijaelewa mtalii akifanya uhalifu kama kufoji cheti cha ndoa anarudishwa nchini kwake na sio kushitakiwa?
AFAIK, Using a forged document is illegal. Unashtakiwa na una nafasi mbili,Sijaelewa mtalii akifanya uhalifu kama kufoji cheti cha ndoa anarudishwa nchini kwake na sio kushitakiwa?
Watu wa shingo ngumuYaani yanabishaga nini sijui
Hapo uhamiaji waliingizwa chaka idara za usalama zikamshtukia ...
Acha EGNESU.Mnapenda kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa ila tatizo lenu liko hapa
Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
Yaani 🤦🏽♀️Watu wa shingo ngumu
Kwani hizo activities lazima ziwe za kidini au kigaidi? Je kama ni wizi au espionage?Mnapaka mafuta kwa ule unafiki wenu ila ndio hivyo hivyo, mpaka mkubali kuishi na binadamu wenzenu kwa amani mtavurugwa popote.......Isome taarifa tena mpaka ufikie hii sentensi
"it was found that he was involved in planning and carrying out activities that endanger the security of the country and that of other nations (cross-border crime)."