Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

Raia ukivaa nguo za jeshi la Marekani nchini ni kosa kisheria??
Ndio, ni kosa na ni marufuku Nchini marekani kuvaa nguo za kijeshi au zinazofanana na za kijeshi.
What are you Insunuating?
 
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Zipo kesi kadhaa huko ambamo Raia wanaochukuliwa hatua kwa kuvaa nguo zinazofanana na za Kijeshi.

Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Wacha Kejeli zako hapa.
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Huweki bendera ya nchi Geto kiholela holela, Na hilo lipo Nchi nyingi Duniani. ...usichanganye watu hapa.
 
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?

Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?

Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Kila nchi Ina tamaduni zake, sheria zake, changamoto tofauti za kiusalama , hivyo bongo hilo halipo Wala haliwezekani, kama unatamani Sana uniform za majeshi hamia kwenye hizo nchi. Otherwise kwa hapa bongo uniform za majeshi kwa raia ni no. Kama unapendansana kuvaa sare basi zipo za shule hata kama ulimaliza miaka 50 iliyopita wewe Shona na uvae hakuna noma, Kuna sare za wafungwa magereza ambazo ni za njano wewe Shona Haina noma vaa, na za blue wale wa kunyongwa vaa, sare za manesi, makondakta, waimba kwaya na wafanya usafi ,
Kuna sare za sanda za maiti wewe jifunike tuu Haina noma lakini za mabaka waachie waliosota depo nusunkufa na wanaokesha maporini na masilaha kukulinda wewe
 
Tuna hofu tusiyojua ni ya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio hofu ni USHAMBA Uliokithiri tuko karne ya 21 lkn Ujinga kwenda mbele plus wabunge wetu ni washamba wakutupwa kazi yao ni kupendekeza kodi za kua mtu kuna mambo ya kishamba sana Bongo mpaka tumuone bwana wetu Kenya karuhusu ndio na sisi tutaruhusu nimenotice sana siasa ya Bongo inafuata Kenya wakifanya kitu ujue na bongo watafuatia hata kama kitachukua muda Mfano katiba mpya na tume huru zitakuja tuuuuuu.
 
Kila nchi Ina tamaduni zake, sheria zake, changamoto tofauti za kiusalama , hivyo bongo hilo halipo Wala haliwezekani, kama unatamani Sana uniform za majeshi hamia kwenye hizo nchi. Otherwise kwa hapa bongo uniform za majeshi kwa raia ni no. Kama unapendansana kuvaa sare basi zipo za shule hata kama ulimaliza miaka 50 iliyopita wewe Shona na uvae hakuna noma, Kuna sare za wafungwa magereza ambazo ni za njano wewe Shona Haina noma vaa, na za blue wale wa kunyongwa vaa, sare za manesi, makondakta, waimba kwaya na wafanya usafi ,
Kuna sare za sanda za maiti wewe jifunike tuu Haina noma lakini za mabaka waachie waliosota depo nusunkufa na wanaokesha maporini na masilaha kukulinda wewe
Wewe ni mstaafu unaoneka huja safiri hata Nairobi hujafika na ushamba umekuganda tuko ktk ulimwengu DOT COM
Wacha tuvae nguo za Kiduku basi .
 
nikijibu kisheria

Sheria za nchi yetu(Jamuhuri ya muungano wa Tanzania) inakataza mtu kuvaa sare ya jeshi lolote tanzania au nguo yoyote inayofanana na jeshi la jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Walokatazwa ni wale wasio kwenye vyembo hivyo

Nikijbu kifedhuli.
Kunahaja gan ya kuvaa sare za watuu so bora ushoneshe sare. Yako uwe unavaa kama unapenda sana sareeeee?????
 
Back
Top Bottom