SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ndio, ni kosa na ni marufuku Nchini marekani kuvaa nguo za kijeshi au zinazofanana na za kijeshi.Raia ukivaa nguo za jeshi la Marekani nchini ni kosa kisheria??
What are you Insunuating?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, ni kosa na ni marufuku Nchini marekani kuvaa nguo za kijeshi au zinazofanana na za kijeshi.Raia ukivaa nguo za jeshi la Marekani nchini ni kosa kisheria??
Zipo kesi kadhaa huko ambamo Raia wanaochukuliwa hatua kwa kuvaa nguo zinazofanana na za Kijeshi.Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wacha Kejeli zako hapa.Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Huweki bendera ya nchi Geto kiholela holela, Na hilo lipo Nchi nyingi Duniani. ...usichanganye watu hapa.Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Mkuu niombee radhi kwa semaji la jeshiKwahiyo unabishana na msemaji wa jeshi letu.
Kila nchi Ina tamaduni zake, sheria zake, changamoto tofauti za kiusalama , hivyo bongo hilo halipo Wala haliwezekani, kama unatamani Sana uniform za majeshi hamia kwenye hizo nchi. Otherwise kwa hapa bongo uniform za majeshi kwa raia ni no. Kama unapendansana kuvaa sare basi zipo za shule hata kama ulimaliza miaka 50 iliyopita wewe Shona na uvae hakuna noma, Kuna sare za wafungwa magereza ambazo ni za njano wewe Shona Haina noma vaa, na za blue wale wa kunyongwa vaa, sare za manesi, makondakta, waimba kwaya na wafanya usafi ,Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi bora duniani?
Pili, kwanini Wamarekani wanaruhusiwa kuweka bendera ya taifa hata geto? Sisi tunahofia nini au wamarekani haimo kwenye orodha ya nchi zenye raia wazalendo?
Wala sio hofu ni USHAMBA Uliokithiri tuko karne ya 21 lkn Ujinga kwenda mbele plus wabunge wetu ni washamba wakutupwa kazi yao ni kupendekeza kodi za kua mtu kuna mambo ya kishamba sana Bongo mpaka tumuone bwana wetu Kenya karuhusu ndio na sisi tutaruhusu nimenotice sana siasa ya Bongo inafuata Kenya wakifanya kitu ujue na bongo watafuatia hata kama kitachukua muda Mfano katiba mpya na tume huru zitakuja tuuuuuu.
Wewe ni mstaafu unaoneka huja safiri hata Nairobi hujafika na ushamba umekuganda tuko ktk ulimwengu DOT COMKila nchi Ina tamaduni zake, sheria zake, changamoto tofauti za kiusalama , hivyo bongo hilo halipo Wala haliwezekani, kama unatamani Sana uniform za majeshi hamia kwenye hizo nchi. Otherwise kwa hapa bongo uniform za majeshi kwa raia ni no. Kama unapendansana kuvaa sare basi zipo za shule hata kama ulimaliza miaka 50 iliyopita wewe Shona na uvae hakuna noma, Kuna sare za wafungwa magereza ambazo ni za njano wewe Shona Haina noma vaa, na za blue wale wa kunyongwa vaa, sare za manesi, makondakta, waimba kwaya na wafanya usafi ,
Kuna sare za sanda za maiti wewe jifunike tuu Haina noma lakini za mabaka waachie waliosota depo nusunkufa na wanaokesha maporini na masilaha kukulinda wewe
Kwa nini huvai sare za wafungwa au sare za maiti sanda?Wewe ni mstaafu unaoneka huja safiri hata Nairobi hujafika na ushamba umekuganda tuko ktk ulimwengu DOT COM
Wacha tuvae nguo za Kiduku basi .