Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Hapo ndo sielewi ccm wanamtaka nani maana akipita biden anatetea ushoga, huyo mwingine ndo hawaivi nae kabisa
 
Ila kura zake tayari zimeshajumlishwa na status ni Trump 213 na Bidden 238. Ila pambano bado mpaka kipenga cha kura ya mwisho.
zimejumlishwa vipi wakati hayo majimbo bado hawajamaliza kuhesabu?. hizo 238 kwa 213 ni za majimbo ambayo tayari wamemaliza kuhesabu na mshindi kajulikana
 
Naona Trump anaziďi kuning'inizwa p.u.m.b.u[emoji38]
 
Watanzania kila kitu mnakijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya tupe matokeo sasa tuache kunifanya wajuaji
Trump kashinda kwa kura zilizopigwa jana.Tatizo kuna kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa bado hazijahesabiwa. Democratcs wengi walipiga kwa njia ya posta.
 
Kumbe unajua kujitetea
Nimekumiss sana ulipotelea wapi ?Najua wangu kujitetea. Ila ndo ukweli. Waliokwenda kupiga kura juzi Trump kashinda. Sema Democratics wanaogopa Corona hivyo wengi walipiga kwa njia ya posta.
 
Nimekumiss sana ulipotelea wapi ?Najua wangu kujitetea. Ila ndo ukweli. Waliokwenda kupiga kura juzi Trump kashinda. Sema Democratics wanaogopa Corona hivyo wengi walipiga kwa njia ya posta.
Nilikuwa maeneo. Ila naona bado hawajamtangaza mshindi naona CNN still wao 253 kwa 213 ila Aljezeera wapo 264 kwa 214 sasa sijui yupi mkweli
 
Trump kashinda kwa kura zilizopigwa jana.Tatizo kuna kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa bado hazijahesabiwa. Democratcs wengi walipiga kwa njia ya posta.
Muda mrefu nakuona unavyojishushia heshima kwa kumshabikia Trump wakati hufananii hivyo, ndiyo hivyo kachomolewa White House so subirini mgombea mwingine 2024
 
Nilikuwa maeneo. Ila naona bado hawajamtangaza mshindi naona CNN still wao 253 kwa 213 ila Aljezeera wapo 264 kwa 214 sasa sijui yupi mkweli
Ngoma bado mbichi. Ila soon kitaeleweka.
 
Marekani kupata Rais Mkatoliki baada ya Mkatoliki pekee ktk historia ya Marekani JF Kennedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…