Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zimejumlishwa vipi wakati hayo majimbo bado hawajamaliza kuhesabu?. hizo 238 kwa 213 ni za majimbo ambayo tayari wamemaliza kuhesabu na mshindi kajulikanaIla kura zake tayari zimeshajumlishwa na status ni Trump 213 na Bidden 238. Ila pambano bado mpaka kipenga cha kura ya mwisho.
acha uongoBiden anaweza shinda maana akishinda Nevada tu anafikisha 270
Kaangalie tenaacha uongo
Watanzania kila kitu mnakijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya tupe matokeo sasa tuache kunifanya wajuajiTatizo Trump anakwenda kushinda majimbo yenye point nyingi. Trump anashinda. Mark my words.
Here we goThat will never happen. Acha akalee wajukuu.
Trump kashinda kwa kura zilizopigwa jana.Tatizo kuna kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa bado hazijahesabiwa. Democratcs wengi walipiga kwa njia ya posta.Watanzania kila kitu mnakijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya tupe matokeo sasa tuache kunifanya wajuaji
Sawa ila ulisema Trump lazima atashinda na ukatuhakikishia hiloTrump kashinda kwa kura zilizopigwa jana.Tatizo kuna kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa bado hazijahesabiwa. Democratcs wengi walipiga kwa njia ya posta.
Ndiyo na ndivyo ilivyokuwa kwa waliokwenda kupiga kura juzi.Sawa ila ulisema Trump lazima atashinda na ukatuhakikishia hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo yamegeuka sasaNdiyo na ndivyo ilivyokuwa kwa waliokwenda kupiga kura juzi.
Kumbe unajua kujiteteaNdiyo na ndivyo ilivyokuwa kwa waliokwenda kupiga kura juzi.
Nimekumiss sana ulipotelea wapi ?Najua wangu kujitetea. Ila ndo ukweli. Waliokwenda kupiga kura juzi Trump kashinda. Sema Democratics wanaogopa Corona hivyo wengi walipiga kwa njia ya posta.Kumbe unajua kujitetea
Nilikuwa maeneo. Ila naona bado hawajamtangaza mshindi naona CNN still wao 253 kwa 213 ila Aljezeera wapo 264 kwa 214 sasa sijui yupi mkweliNimekumiss sana ulipotelea wapi ?Najua wangu kujitetea. Ila ndo ukweli. Waliokwenda kupiga kura juzi Trump kashinda. Sema Democratics wanaogopa Corona hivyo wengi walipiga kwa njia ya posta.
Muda mrefu nakuona unavyojishushia heshima kwa kumshabikia Trump wakati hufananii hivyo, ndiyo hivyo kachomolewa White House so subirini mgombea mwingine 2024Trump kashinda kwa kura zilizopigwa jana.Tatizo kuna kura zilizopigwa kwa njia ya posta zilikuwa bado hazijahesabiwa. Democratcs wengi walipiga kwa njia ya posta.
Ngoma bado mbichi. Ila soon kitaeleweka.Nilikuwa maeneo. Ila naona bado hawajamtangaza mshindi naona CNN still wao 253 kwa 213 ila Aljezeera wapo 264 kwa 214 sasa sijui yupi mkweli
Hivi Obama alikua dhehebu gani?Marekani kupata Rais Mkatoliki baada ya Mkatoliki pekee ktk historia ya Marekani JF Kennedy
CatholicHivi Obama alikua dhehebu gani?