T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Acha hizo mambo. Tazama matokeo kupitia Associated Press, CNN na matokeo wapi na wapi hawa waongo sana na hawana uwezo wa kutangaza kwa accuracy kama AP, yawezekana wanakopi kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha hizo mambo. Tazama matokeo kupitia Associated Press, CNN na matokeo wapi na wapi hawa waongo sana na hawana uwezo wa kutangaza kwa accuracy kama AP, yawezekana wanakopi kwao
Kashapewa muda bado anapitwa kura 25Trump is anaongoza majimbo haya hadi sasa
pennsylvania with 20 electoral vote
wisconsin 10
michigan 16
georgia 16
North carolina 15View attachment 1619271
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema joe kashinda majimbo ya trump mpaka sasa... Ila majimbo ya Hillary Clinton ya 2016 trump hajachomoa hata moja... Kwahiyo trump hayo majimbo bado haaminikiBiden kabeba Arizona, haya sasa kabakiza Nevada yenye points 6 tu na itamfikisha 244 baada ya hapo uko kwingine sijui atachomoa vipi kama matokeo hayatapinduliwa na hesabu za mwisho. Trump ana majimbo yenye points nyingi anaongoza
Haya majimbo yaliyo na weak red, have not yet been called for anyone, but trump is leading in margin., the only state Biden is likely to win now is Nevada with only 6 electoral vote,Kashapewa muda bado anapitwa kura 25
Democrats ndio wabaya kuliko Pompeo linapokuja swala la demokrasia.Ila nadhani kwa watanzania ni bora trump ashinde ili bwana pompeo aendeleze harakati zake
Jimbo moja tuu,Arizona ndio amefanikiwa kumpokonya Trump hadi sasa..Wanasema joe kashinda majimbo ya trump mpaka sasa... Ila majimbo ya Hillary Clinton ya 2016 trump hajachomoa hata moja... Kwahiyo trump hayo majimbo bado haaminiki
Kaa ukijua wadems ndio wana idadi ya marais wengi..... Hiyo ya kusema jimbo la joe biden kushinda limebaki moja danganya watoto.... Angalia wachambuzi wao wa ndani wanasemaje.... Angalia mtandao wa financial news utaelewaHaya majimbo yaliyo na weak red, have not yet been called for anyone, but trump is leading in margin., the only state Biden is likely to win now is Nevada with only 6 electoral vote,
WI, PA, MI,NC,GA are red statesView attachment 1619331
Sent using Jamii Forums mobile app
Looks likes you are not well informed.Kaa ukijua wadems ndio wana idadi ya marais wengi..... Hiyo ya kusema jimbo la joe biden kushinda limebaki moja danganya watoto.... Angalia wachambuzi wao wa ndani wanasemaje.... Angalia mtandao wa financial news utaelewa
Ni sawa na kusema trump atashinda calfonia au biden atashinda alabama/texas,which is less likely to happenKaa ukijua wadems ndio wana idadi ya marais wengi. Hiyo ya kusema jimbo la joe biden kushinda limebaki moja danganya watoto. Angalia wachambuzi wao wa ndani wanasemaje. Angalia mtandao wa financial news utaelewa
Kwani wewe ni Rais Magufuli?Mtu mwenye historia ya Joe Biden kwa kiswahili
Aisee..kumbeKaa ukijua wadems ndio wana idadi ya marais wengi..... Hiyo ya kusema jimbo la joe biden kushinda limebaki moja danganya watoto.... Angalia wachambuzi wao wa ndani wanasemaje.... Angalia mtandao wa financial news utaelewa
Hujamjua Biden wewe. Tazama rekodi yake akiishutumu South African apartheid govt kipindi ambacho serikali ya US kipindi kile haina shaka na RSA. Biden ni mkali usimuone ana matatizo ya kuongea na umri huu. Kwanza chama chake si unawaona kina Pelosi walivyo. Very strict hawa na hawakosi vitaIla nadhani kwa watanzania ni bora trump ashinde ili bwana pompeo aendeleze harakati zake
4+ sema vyengine havina ushawishi ni kaka CHAUMA tzKwa hiyo Marekani kuna vyama viwili tu vya siasa?
Kampita mbali sana 238Time hii ni Joe Biden
Kampita mbali sana 238