Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Tunashuhudia raisi Donald Trump akivuruga uchaguzi na utaratibu wa kidemokrasia.Trump analalamika wanataka kumuibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashuhudia raisi Donald Trump akivuruga uchaguzi na utaratibu wa kidemokrasia.Trump analalamika wanataka kumuibia.
Trump huenda akashindwa uchaguzi.Trump for life
Ubao unasomekaje?Embu nipe updates...mana mnafikiri kule ni tanzania
Inasoma 192 kwa B na 114 kwa T kati ya 270
Vipo vi3Kwa hiyo Marekani kuna vyama viwili tu vya siasa?
Trump anaelekea kupindua meza kibabeJ.Biden anabeba nchi soon
Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.Trump huenda akashindwa uchaguzi.
Wamarekani wamekasirishwa na vifo vya watu 235,000 kutokana na COVID-19 kwa kushindwa kuweka mipango thabiti ya kupambana na ugonjwa huo.
Trump akishinda uchaguzi huu atafurahi sana.
That will never happen. Acha akalee wajukuu.J.Biden anabeba nchi soon
Kwa ufupi tu biden alikua makamu wa rais wa barack obamaMtu mwenye historia ya Joe Biden kwa kiswahili
Wakumbuka Trump alimchagua jaji wa mahakama kuu mwanamke?Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.
Hizo kura kashapewa muda ila bado yupo nyumaTrump is anaongoza majimbo haya hadi sasa
pennsylvania with 20 electoral vote
wisconsin 10
michigan 16
georgia 16
North carolina 15View attachment 1619271
Sent using Jamii Forums mobile app
Yashangaza sana na kuogofyesha kuona taifa kubwa kama Marekani wanashindwa kuwa na mfumo imara wa kupiga kura mara moja na kuhesabu kura hizo ndani ya masaa 24 na kutangaza mshindi.