Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Trump huenda akashindwa uchaguzi.

Wamarekani wamekasirishwa na vifo vya watu 235,000 kutokana na COVID-19 kwa kushindwa kuweka mipango thabiti ya kupambana na ugonjwa huo.

Trump akishinda uchaguzi huu atafurahi sana.
Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.
 
Trump is anaongoza majimbo haya hadi sasa
pennsylvania with 20 electoral vote
wisconsin 10
michigan 16
georgia 16
North carolina 15
Screenshot_20201104-110805_1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Trump anashinda leo. Majimbo yaliyobaki yenye point nyingi yeye anaongonza. No way Biden apindue meza.
Wakumbuka Trump alimchagua jaji wa mahakama kuu mwanamke?

Unafahamu lengo lilikuwa ni nini?

Sasa leo aona aelekea kushindwa anaanza kulialia anadai uchaguzi usimamishwe ili uamuliwe na Supreme Court.
 
Back
Top Bottom