Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Marekani kw Mara ya Kwanza guns sales zimeshoot to the all time record. Tension ni kubwa Kuna uwezekano wakachapana risasi.

Military imekuwa deployed kwenye vituo vya kupigia kura kwa mara ya kwanza USA.

Kwa mara ya kwanza waangalizi wa masuala ya ghasia kwenye uchaguzi wamepiga kambi USA.

Kwa mara ya kwanza USA masanduku ya kura yamekamatwa yakiwa tayari yamepigwa kura ya Trump.

Unaelekea kuwa uchafuzi na kwao. Democracy ni ngumu nyie.
 
Democrats retain House of Representative
 
Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin

Hongera Trump
 
Shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…