Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trump anashinda mapema kabisaGood luck JOE BIDEN.
Ngoja tuone, wakiingia barabarani kuandamana tutajua kuwa hawakuwa na uchaguzi wa haki.Nasikia nao Uchaguzi wao umekuwa sio wa haki.
Jiwe kashindaUchaguzi umeisha
Na Trump anaongoza huko kwa wazunguJiwe kashinda
Sema umelogwa wew na ukoo wako,usitusemee wenyw akili timamu...zumbukuku wew.Uko sahihi kabisa ndug, Waafrika sijui tumelogwa na nani?
Time will tell.Trump anashinda mapema kabisa
Update zimakaaje kwa sasa mkuu...Biden anashinda huu mtanange
Embu nipe updates...mana mnafikiri kule ni tanzaniaTrump kama Magufuli tu, ngwe ya pili is loading.
Shukrani sana mkuuMarekani kuna vyama vingi vya siasa mbali na Democrat na Republicans.
Uchaguzi wa marekani mwaka 2020 una wagombea zaidi ya kumi toka vyama tofauti na hivyo viwili lakini pia marekani inaruhusu mgombea binafsi.
Hawa baadhi wagombea wa USA mwaka huu ukitoa Trump na Biden.
Kuhitimisha kuna wgombea 21 kwenye nafasi ya uraisi wa marekani, lakini sio majimbo yote hao wagombea watatokea kwenye ballots. Majimbo yatakayokuwa na wagombea wote ni Vermont na Colorado. Pitia hii linki Presidential candidates, 2020 - Ballotpedia kuelewa jinsi uchaguzi wa US unavyofanyika na pia kuwafahamu wagombea wengine.
- Howie Hawkins wa chama cha Green Socialist
- Jo Jorgensen wa chama cha Libertarian
- Don Blankenship wa chama cha Constitution
- Brian T. Carroll wa chama cha American Solidarity.
- Roque De La Fuente wa chama cha American Delta Party
Tunawajuwa Trump na Biden kwa sababu wanatoka kwenye vyama vikubwa na vikongwe nchini Marekani ila vyama vya siasa vipo vingi.