Kivipi mkuu hebu tudadavulie tafadhariView attachment 1619181
[emoji1370][emoji1370][emoji1370]Update zimakaaje kwa sasa mkuu...
Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin
Hongera trump
Projection inaonyesha kwenye majimbo hayo Trump kashinda kwa kura zilizohesabiwa tayari.Namimi na msubiri adadavue labda aoneshe Trump amesha shinda kwenye yale majimbo yenye electoral votes nyingi na ambayo hadi sasa hayaja hesabu kura labda kama ni kesho!
Anaanzaje[emoji1370]Na trump anasema yeye atajitangazia ushindi wa mapema hata kama kura bado hawajamaliza kuhesabu.
Yanahesabu na Trump anaongonza.Na hayo majimbo uliyo yataja yana kula nyingi kuliko majimbo mengine na bado hayajahesabu Kura!
Eti case ya ugaidi mtu aanapewa dhamanaBaada ya Joe Biden akamatwe na li mambosasa na afunguliwe kesi ya ugaidi halafu apewe dhamana, maisha yaendelee.
Yes ipo wazi mbonaKwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin
Hongera trump
.... safi sana! Hongera nyingi kwa TRUMP!
Duuuh....hatariii,hii Kasi kama CCM ,chadema watasema jamaa kafanya figisu
No sio kweli, bado haijajulikana mpaka sasa ingawa biden ana elwctoral colleage 215 na trump 171Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin
Hongera trump
Hapo ni 209 kwa 212Anaanzaje[emoji1370]View attachment 1619183
Trump anashinda mzee angalia majimbo anayoongoza ambayo bado hajatangazwa.Anaanzaje[emoji1370]View attachment 1619183
Ni ndotoTrump kashinda tayari.