Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Update zimakaaje kwa sasa mkuu...
[emoji1370][emoji1370][emoji1370]
IMG-20201104-WA0000.jpg
 
Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin

Hongera trump

Na hayo majimbo uliyo yataja yana kula nyingi kuliko majimbo mengine na bado hayajahesabu Kura!
 
Namimi na msubiri adadavue labda aoneshe Trump amesha shinda kwenye yale majimbo yenye electoral votes nyingi na ambayo hadi sasa hayaja hesabu kura labda kama ni kesho!
Projection inaonyesha kwenye majimbo hayo Trump kashinda kwa kura zilizohesabiwa tayari.
 
Popular vote:

Donald Trump: 48.6% - 61,338,764
Joe Biden: 49.8% - 62,937,513
 
Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin

Hongera trump
No sio kweli, bado haijajulikana mpaka sasa ingawa biden ana elwctoral colleage 215 na trump 171
 
Back
Top Bottom