Raia wa Marekani wapiga kura kumchagua Rais mpya kati ya Donald Trump anayewania muhula wa pili au mpinzani wake Joe Biden

Popular vote:

Donald Trump: 48.6% - 61,338,764
Joe Biden: 49.8% - 62,937,513
sisi masikini tupo m55 tunaotegemea kuishi kwa misaada ya MEBEBERU tumijiandikisha 29m zaidi ya nusu ya wananchi wote kuchagua viongozi. hii ndo tanzania yetu. matokeo wamepiga kura hawazidi m15 hivo ni nusu nzima ya waliojiandikisha hawakupiga. hii ni kutokana na usanii mwingi tu.
hebu tudadavulie kuhusu hawa MABEBERU (USA) wanaotulisha na kutushikia UHAI wetu kwa ujumla wao wako wangapi na wamejiandikisha wangapi kupiga kura ? ili tuone ni kina nani wanatekeleza DEMOKRASIA kwa uhalisia wake.
 
Trump angeongea na Anko ili ampe mbinu ya kushinda kwa kishindo 🤣
 
Kwa Hali ilivyo mpaka Sasa Trump ameshashinda uchaguzi, ni ngumu kwa Joe Biden kupindua meza kwenye majimbo ya north Carolina, Florida, Texas, Ohio, Georgia, Pennsylvania na Wisconsin

Hongera Trump
Sawa, kwa hiyo sisi huku Tanzania tufanyeje na maisha yetu, tusifanye kazi au kuwaza?
 
meko wa USA analia kuibiwa KURA haya ni maajabu ya DUNIA

 
Daah nakusikitikia sana Ndugu yangu
You're entitled to your opinion but that's the truth. With all its mineral riches and the fertile land, the continent has nothing to show in development terms.

Poor infrastructure is the feature of the continent's diverse landscape when it's authoritarian rulers line their Swiss bank accounts. The continent is a curse, total curse.
 
Nevada & arizona trump anakuja kwa kasi ya ajabu, iko wazi Trump anashinda tena
 
Biden hawezi kushida tena kapoteza taxes 38 frolida 28 duh hawezi 213 na 224 za biden
 
Trump kachukuwa kila ukipiga hesabu hujui Biden atatowa wapi 25 ataweza kupata 21 lakini kupata 46 naona kama mtihani nimepiga hesabu zote ngumu Trump atachukuwa labda yatokee maajabu ghafla number zibadilike. Natamani hii system tungekuwa nayo huku kura zinahesabiwa tu tunaona live kule hatujui hata nani mwenyekiti wa tume kila kitu kiko wazi hata kama wanashutumiana wakati mwingine lakini uwazi 100% huku wenyeviti wa tume kama bongo movies kila siku matamko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…