mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mwendo wa kupima tu mwanzo mwisho hadi kieleweke.
Kama uliona takwimu za CDC Africa; Tanzania tulishafikia hiyo namba zamaniiii! Tuendelee tu kuficha na kujiona wajanja, kumbe tunajificha nyuma ya jani!Mzigo konki .
Bado wawili wafike 550[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1546514
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kama uliona takwimu za CDC Africa; Tanzania tulishafikia hiyo namba zamaniiii! Tuendelee tu kuficha na kujiona wajanja, kumbe tunajificha nyuma ya jani!
Hapana! Hiyo namba ilitolewa kabla hatujampoteza ndugu na mwingine kuambiwa akaugulie nyumbani!
Hapana! Hiyo namba ilitolewa kabla hatujampoteza ndugu na mwingine kuambiwa akaugulie nyumbani!
Hapana! Hiyo namba ilitolewa kabla hatujampoteza ndugu na mwingine kuambiwa akaugulie nyumbani!
Sasa wewe jiulize sie tulifika namba hizo kipindi kile ambacho kulikuwa na kufuata taratibu za kujikinga na corona na shughuli nyingi zilisimama,je unafikiri hiyo corona kama ipo hadi sasa hali ingetakiwa iweje ambapo maisha yamerudi kama zamani? ni wazi hali ingekuwa mbaya zaidi na athari zingeonekana.Kama uliona takwimu za CDC Africa; Tanzania tulishafikia hiyo namba zamaniiii! Tuendelee tu kuficha na kujiona wajanja, kumbe tunajificha nyuma ya jani!
Wapo vizuri wakiongeza juhudi wataifikia South Africa.Mzigo konki .
Bado wawili wafike 550[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1546514
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ndiyo tunaficha! Ni kwamba sehemu kubwa ya Afrika imeweza ku-achieve herd immunity, hivyo hata kwa wenzetu figures hazipandi sana; hiyo haimaanishi kuwa sisi hatuna cases, sema hatujui maana, kwanza hatupimi kama wenzetu, pili, wagonjwa hawapaswi kulazwa hospitali, kusudi "tusijulikane bado tuna korona", na tatu, hata mttu akifa kwa korona hakuna kusema, unaambiwa kazike maiti yako! Ndo kujificha nyuma ya jani huko, siyo kwamba sisi tuko bora kuliko wenzetu; wenzetu ni bora zaidi kwa sababu wanajua status ya nchi (pamoja na kwamba wamepiga hela!), sisi tuko gizani!Sasa wewe jiulize sie tulifika namba hizo kipindi kile ambacho kulikuwa na kufuata taratibu za kujikinga na corona na shughuli nyingi zilisimama,je unafikiri hiyo corona kama ipo hadi sasa hali ingetakiwa iweje ambapo maisha yamerudi kama zamani? ni wazi hali ingekuwa mbaya zaidi na athari zingeonekana.
Huko kuficha kunakozungumziwa labda iwe na maana ya kwamba tuna hivyo virusi ila havina athari,lakini sio kutuambia kwamba et tunaficha wagonjwa na vifo vya corona.
Wanakufa Kwa kaugonjwa kadogo tu kama nzige!!542 DEATHS.
mbona nyie HAMUHOJI KWANINI MNAKUFAA KAMA KUKUView attachment 1545487
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Wapo vizuri wakiongeza juhudi wataifikia southafrica.
Ndiyo tunaficha! Ni kwamba sehemu kubwa ya Afrika imeweza ku-achieve herd immunity, hivyo hata kwa wenzetu figures hazipandi sana; hiyo haimaanishi kuwa sisi hatuna cases, sema hatujui maana, kwanza hatupimi kama wenzetu, pili, wagonjwa hawapaswi kulazwa hospitali, kusudi "tusijulikane bado tuna korona", na tatu, hata mttu akifa kwa korona hakuna kusema, unaambiwa kazike maiti yako! Ndo kujificha nyuma ya jani huko, siyo kwamba sisi tuko bora kuliko wenzetu; wenzetu ni bora zaidi kwa sababu wanajua status ya nchi (pamoja na kwamba wamepiga hela!), sisi tuko gizani!
Afu watu wengine mnajua kujifanya hamnazo; haya hawapo, sijawaona! Endeleeni kumtetea huyo kionggozi wenu!

Sina muda wa kupoteza na wewe! Nenda tu hapo Amana, au ongea na daktari wahusika! Nina faida gani ya kudanganya?Sikiliza nikwambie rafiki yangu. Ujue huku ndani tupo watu wazima na akili zetu.
Sasa unapotaka kusema kitu lazma uangalie unasema nini.
Hayo yanatokea hospital gani hapa Tanzania
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Sina muda wa kupoteza na wewe! Nenda tu hapo Amana, au ongea na daktari wahusika! Nina faida gani ya kudanganya?
Kwahiyo tofauti kubwa kati yetu na hao wengine ni kwamba wao wanajua wangapi wamekufa kwa corona basi? nauliza hivyo kwa sababu sie tumefungua shughuli zote na watu hata nyungu wameacha tena kupiga sasa hivi wanasema corona imeisha tofauti na majirani zetu, sasa nilitegemea athari za corona zingeonekana maana kungekuwa na kasi sana ya maambukizi na hali ingekuwa mabaya zaidi.Ndiyo tunaficha! Ni kwamba sehemu kubwa ya Afrika imeweza ku-achieve herd immunity, hivyo hata kwa wenzetu figures hazipandi sana; hiyo haimaanishi kuwa sisi hatuna cases, sema hatujui maana, kwanza hatupimi kama wenzetu, pili, wagonjwa hawapaswi kulazwa hospitali, kusudi "tusijulikane bado tuna korona", na tatu, hata mttu akifa kwa korona hakuna kusema, unaambiwa kazike maiti yako! Ndo kujificha nyuma ya jani huko, siyo kwamba sisi tuko bora kuliko wenzetu; wenzetu ni bora zaidi kwa sababu wanajua status ya nchi (pamoja na kwamba wamepiga hela!), sisi tuko gizani!