Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

Una uhakika ni Muislam huyo!?
Christian Ronaldo amewahi kutoa msaada kwa Wapalestina na si muislam,acheni ubaguzi.
Aliita camera hapo ndo alipo haribu, kwani ukitoa bila kujitangaza hiyo sadaqa haifiki?
 
Huyu katumwa na yule billionia wa Utruki alie taka kupundua serikali ya uturuki miaka minne nyuma na kapewa taarifa na Urusi, alivyo detect mitambo ya vita inaamishwa, huyu jama anaishi Marekani ni tajiri kuliko maelezo. Analindwa na serikali ya Marekani ilikataa kumkabidhi serikali ya uturuki, ndo chanzo cha ugomvi wa uturuki na US.
Umekuwa msemaji wa huyo bilionea wa kituruki, hivyo ndivyo alivyokuambia ?
 
Umekuwa msemaji wa huyo bilionea wa kituruki, hivyo ndivyo alivyokuambia ?
Mkuu hilo ni jambo la wazi akijitokeza kwamba ni yeye huo msada utabadilika kua wa kisiasa na hautapokelea, na hili jambo linajulikana kwa yoyote anae fuatilia masuala ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom