Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

Raia wa Pakistan asiyejulikana anayeishi Marekani atoa msaada wa zaidi ya bilioni 60 kwa wahanga wa Tetemeko la Uturuki

Huyu mtu sio kwamba hajulikani na serikali,isipokuwa ameamua kutoa msaada lakini asitajwe jina.
Yaani uwe tajiri hivyo halafu serikali na Marekani isikujue halafu bado wapokee msaada wako tena Ubalozini,haiwezekani
Sawa ,heading ibadilishwe ,TAIFA la marekani haliwezi kua raia wa namna hiyo.......
 
Huyu katumwa na yule billionia wa Utruki alietaka kupindua serikali ya uturuki miaka minne nyuma na kapewa taarifa na Urusi, alivyo detect mitambo ya vita inaamishwa, huyu jama anaishi Marekani ni tajiri kuliko maelezo. Analindwa na serikali ya Marekani ilikataa kumkabidhi serikali ya uturuki, ndo chanzo cha ugomvi wa uturuki na US.
Na ndo mmiliki wa shule za FEZA
 
Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Kama hawajionyeshi una ushahidi upi sasa kuwa wanatoa? Na kama hawajionyeshi mbona huyo wamemjua mpaka jinsia yake?
 
Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Dini zote zinataka kuto kujionyesha, sababu kwenye biblia Kuna mistari inakataza hata mkono wako mwingine husione unachotoa.
 
Tazama ylivyojipinga mwenyewe.

Ushasema "Ronaldo" , na huyo Mpakistan umeshamjuwa ni nani?

Hiyo ndiyo fauti ya utoaji. Fikiri.
Huyo ni Mpakistani anayekaa Marekani tayari ushambatiza ni Muislam wakati wamesema asiyefahamika!
 
Yesu alikuwa muislam? Na Mudi alileta Nini Sasa Kama ndiyo alishushiwa unabii wa dini?
Kwa hakika huelewi maana ya neno Muislam.

Kwa maana ya neno Muislam, Yesu alikuwa Muislam kwa sababu neno Muislam maana yake ni ‘mnyenyekea kwa Mungu’ . Kwa hakika Yesu alijinyenyekeza kwa Mungu na kuwanyamazisha wakosoaji wake wote. Kwa hakika Uislam unamaanisha ‘kunyenyekea’...

Sema wewe Yesu alikuwa nani zaidi ya Muislam? Hata neno Mkristo halijuwi.
 
Wewe una matatizo... Tena makubwa
 
Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Uislamu hapo unaingiaje hizo hela katoa wapi muuza madawa huyo
 
Duniani tungekuwa binadamu,tunasaidiana hivi,shida,njaa,ukosefu wa ada za shule,chuo,malipo ya hospital,kupeana ajira bila upendeleo,dunia ingekuwa na amani.
Accept nature you'll live happily. Don't try to argue with it. Don't try to will or force it to behave according to your perception, biasennes, assumptions, beliefs, predictions, subjectivity and thinking capability.
 
Ukiskia kutoa mkono wa kulia wa kushoto usijue ndo hiyo sasa savi sana Hongera zake.
 
Back
Top Bottom