Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Nimecheka hadi kupaliwa๐๐๐๐Wengine wanapeleka tende lakini mikwara kibao.
Aliita camera hapo ndo alipo haribu, kwani ukitoa bila kujitangaza hiyo sadaqa haifiki?Una uhakika ni Muislam huyo!?
Christian Ronaldo amewahi kutoa msaada kwa Wapalestina na si muislam,acheni ubaguzi.
Una uhakika ni Muislam huyo!?
Christian Ronaldo amewahi kutoa msaada kwa Wapalestina na si muislam,acheni ubaguzi.
Ipo hivi, kuna mtu au jamii fulani ambayo huwa na account kwa ajili ya issues fulani but ikitokea jambo la dharula nchini kwao wao hawajionyeshi so humtuma mtu as yeye na si wao kutoa fungu.Why unahisi katumwa na sio yeye mwenyewe ndio tycoon?
Mkuu bilion 60 za kibongo unaichukulia poa eeee.Ipo hivi, kuna mtu au jamii fulani ambayo huwa na account kwa ajili ya issues fulani but ikitokea jambo la dharula nchini kwao wao hawajionyeshi so humtuma mtu as yeye na si wao kutoa fungu.
Yaan ukisikia neno uislam tu tumbo linakoroga,kufeni kwa chuki zenu ๐Intelijensia inaonesha unataka kuharibu uzi
Hawajiamini waoga sanaa.Yaan ukisikia neno uislam tu tumbo linakoroga,kufeni kwa chuki zenu [emoji16]
Nyie watu inferiority complex imewatawala aiseeNdio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Kabla hujaandika ulipaswa kusoma na kuelewa nimeandika nini kijana!.Mkuu bilion 60 za kibongo unaichukulia poa eeee.
Umekuwa msemaji wa huyo bilionea wa kituruki, hivyo ndivyo alivyokuambia ?Huyu katumwa na yule billionia wa Utruki alie taka kupundua serikali ya uturuki miaka minne nyuma na kapewa taarifa na Urusi, alivyo detect mitambo ya vita inaamishwa, huyu jama anaishi Marekani ni tajiri kuliko maelezo. Analindwa na serikali ya Marekani ilikataa kumkabidhi serikali ya uturuki, ndo chanzo cha ugomvi wa uturuki na US.
Aliyekwambia ni muislamumamuma nani?Ndio uzuri wa uislam watu wanatoa mali zao pasi na kujionyesha kwa watu,wanatafuta radhi za mola wao mlezi tu
Hamna mtu anayependa kuchinjwaHawajiamini waoga sanaa.
Mkuu hilo ni jambo la wazi akijitokeza kwamba ni yeye huo msada utabadilika kua wa kisiasa na hautapokelea, na hili jambo linajulikana kwa yoyote anae fuatilia masuala ya kimataifa.Umekuwa msemaji wa huyo bilionea wa kituruki, hivyo ndivyo alivyokuambia ?
Kiarabu...kujioneshaHapa umeaniacha, Nini maana ya ria
[emoji23][emoji28][emoji28]Wengine wanapeleka tende lakini mikwara kibao.
Huyu mtu sio kwamba hajulikani na serikali,isipokuwa ameamua kutoa msaada lakini asitajwe jina.Ubalozi unapokeaaje msaada wa asiyejulikana
Umeshajua ni CR huyo ni Pakistani tuu.Una uhakika ni Muislam huyo!?
Christian Ronaldo amewahi kutoa msaada kwa Wapalestina na si muislam,acheni ubaguzi.