DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mleta Mada anatokea ngara hahahaha yeye mwenyewe sio mTanzania,,, hakuna mTanzania halisi anaetokea ngara... ingependeza uhamiaji iwaajiri watu kama huyu mketa mada, maana mwizi lazima amjue mwizi mwenzake.
Mtoa mada njoo ujibu hii kumbe na wewe ni walewale
 
Sema hao majirani wakulipe maana unaawakuza na kkuwapromoti sana, unawatrendisha sasa hio kazi hutakiwi kuifanya bure bure
 
Na kuna hawa vijana wa Kicongo na Kirundi wanaotoroka kwenye makambi ya wakimbizi na kujichanganya mitaani, hao ndo idadi yao itakushangaza. Wengi hukimbilia kigoma mjini kwa muda then wakizoea mazingira wanakimbilia Dar! Nchi hii kuna sehemu tumefeli vibaya sana hasa idara ya uhamiaji.
 
Utakuwa una wivu wa maendeleo na jirani yako mwarwanda siyo bure wewe kila mara kuwa sema wanyarwanda kama hamnazo vile
 

Hayo makabila uliyotaja ya mpakani hayajaajiriwa katika nchi hizo
Shida ni kuajiriwa shida nini?
 
Fungueni akili na tafuteni exposure. Mna mawazo mgando sana, dunia ya Leo kuona kila mgeni ni spy ni uzwazwa wa kiwango cha lami na inferiority complex ya juu. Hizi ndo effects za ujamaa bado mnawaza kijima.
Waweza kuwa sawa

Vipi Rwanda watakubali hili kwao?
 

Chief, you're preaching to the choir naujua fika uhamiaji haramu na athari zake.

Mimi sijatetea uhamiaji haram nimepoint out inferiority waliyonayo wabongo solely kwa wanyarwanda na wakenya.

Unataka kusema wahamiaji haramu ni wanyarwanda tu? Kwamba mnyarwanda yeyote nchini ni haramu? Kwanini kelele siku zote ni kuhusu wao na si wacongo au wamalawi ambao wamejaa bongo na wengi kuliko hao wanyarwanda? Mbongo akisikia Rwanda au Kenya analoa tepe tepe.
 
Wewe unaweza kuishi Rwanda bila vibali?
Yaani tunyamaze ikiwa tunaona watu wasio raia wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi uko Tabora
Watu wana pata kazi hadi kwenye majeshi
Halafu unasema ni unyonge
Wanyonge ni hao wanaoingia nchi ya watu bila kufata taratibu
 
Kwani nchi gani haina wahamiaji? Dunia nzima watu wanahama ni kawaida wala si kitu cha ajabu na wakivunja sheria wanadhibitiwa kama raia wengine wowote so sio kitu cha kuogopa kwa miaka hii
 
Mleta Mada anatokea ngara hahahaha yeye mwenyewe sio mTanzania,,, hakuna mTanzania halisi anaetokea ngara... ingependeza uhamiaji iwaajiri watu kama huyu mketa mada, maana mwizi lazima amjue mwizi mwenzake.
Mimi ni Mtanzania
Mababu na mababu ni Watanzania
Karibu Ngara
 

Wanafanya yote hayo wakiwa wahamiaji haramu?

Yani mtu anatoka Rwanda leo afu kesho anajiunga na jeshi, does that even make sense to you?

Nyie watanganyika mna habari mtu akiwa naturilized ana haki zote kama mtanzania mwingine au mnadhani kila mgeni atakua mgeni milele?
 
Kwani nchi gani haina wahamiaji? Dunia nzima watu wanahama ni kawaida wala si kitu cha ajabu na wakivunja sheria wanadhibitiwa kama raia wengine wowote so sio kitu cha kuogopa kwa miaka hii

Waelekeze hawa watanganyika walioharibiwa akili na ujamaa sababu wao hawasafiri wanadhani watu wote duniani hawatoki kwao. Mbongo akifika mbali ameishia Dar.
 
Serikali inatakiwa iweke kitengo cha uhamiaji katika stesheni ya treni kigoma. Warundi wengi huja mikoa ya Dar,Moro,Dom kwa kupitia usafiri wa treni na pia mabasi kama Adventure,Saratoga na Aifola.
 
wewe mtusi/mhutu inabidi ukamatwe na idara ya uhamiaji urudishwe kwenu huko Gisenyi
 
. Ivi unajua Congo imeizidi Rwanda vitu vingi kuanzia uchumi, population mpaka ukubwa wa nchi, ila angalia inavyowasumbua hao Congo.. udogo wa nchi si hoja mzee, kikubwa ni jeshi la nchi lina uwezo gan kijeshi kuanzia vifaa vya kisasa , idadi ya wanajeshi wenye mafunzo bora za kimedani including special forces na vile vile uwezo wa kukabiliana na hatari au kunusa hatari zinazoweza jitokeza(ujasusi)
Wewe unaita inferiority complex lakini mimi nadhani ni seriousness juu hao wanyaruanda hasa ukiangalia walivyomigrate kwenda Congo na wanachokifanya sasa ivi pale Kongo.. Walienda kama wakimbizi wakakaribishwa na wenyeji( native Congolese) ila wanachokifanya sasa ivi pale Kivu nadhani unakiona..
Ilifika hatua mpaka mkuu wa majeshi ya Congo alikua mnyaruanda, na baada ya kutimuliwa akarudi Rwanda akapewa tena cheo kikubwa jeshini na serikalini mpaka leo yupo Rwanda na ni kiongozi mkubwa tu..!!! Leo tukisema waangaliwe na wafatiliwe unaita unyonge mkuu..

Sio unyonge ila hao watu ni threat sehemu yoyote waliyopo kutokana na historia yao
 

Congo is unstable way before Rwanda toka enzi za uhuru. Congo wenyewe tu wanapigana, kuifananisha Congo na TZ ni makosa makubwa.

Rwanda haituzidi kwa military budget, ubora wa jeshi, ardhi, watu, uchumi or anything. TZ Haina sababu yeyote Ile ya kuiogopa RW zaidi ya woga na unyonge. RW Akacheze anakochezaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…