DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mleta Mada anatokea ngara hahahaha yeye mwenyewe sio mTanzania,,, hakuna mTanzania halisi anaetokea ngara... ingependeza uhamiaji iwaajiri watu kama huyu mketa mada, maana mwizi lazima amjue mwizi mwenzake.
Mtoa mada njoo ujibu hii kumbe na wewe ni walewale
 
Sema hao majirani wakulipe maana unaawakuza na kkuwapromoti sana, unawatrendisha sasa hio kazi hutakiwi kuifanya bure bure
 
Na kuna hawa vijana wa Kicongo na Kirundi wanaotoroka kwenye makambi ya wakimbizi na kujichanganya mitaani, hao ndo idadi yao itakushangaza. Wengi hukimbilia kigoma mjini kwa muda then wakizoea mazingira wanakimbilia Dar! Nchi hii kuna sehemu tumefeli vibaya sana hasa idara ya uhamiaji.
 
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa

Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.

Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.

Wanyarwanda sio wageni wazuri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,

kila siku serikali za Congo, Burundi Uganda na Msumbiji zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani

Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa

Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport

Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini

Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Utakuwa una wivu wa maendeleo na jirani yako mwarwanda siyo bure wewe kila mara kuwa sema wanyarwanda kama hamnazo vile
 
Wabongo wapo hadi omba omba Nairobi. Malawi, Zambia, Uganda kote huko wabongo wamejaza. USA, Canada, UK kote wabongo wapo.

Mipakani watu kuingiliana ni kawaida. Wamasai, wakurya, wajita, waha, wanyakyusa, wamakonde nk wapo TZ na nchi wanazopakana nazo. Sijui nini Cha ajabu hapo.

Huyo CDF wenu aliropoka hadi Leo kashindwa toa proof hata moja.

Mitanganyika kinachowasumbua ni ushamba na inferiority complex. Mkisikia Rwanda, kanchi kadogo kama ghetto na Kenya mnaloa hapo hapo. Ujamaa uliwapa unyonge wa maisha

Hayo makabila uliyotaja ya mpakani hayajaajiriwa katika nchi hizo
Shida ni kuajiriwa shida nini?
 
Fungueni akili na tafuteni exposure. Mna mawazo mgando sana, dunia ya Leo kuona kila mgeni ni spy ni uzwazwa wa kiwango cha lami na inferiority complex ya juu. Hizi ndo effects za ujamaa bado mnawaza kijima.
Waweza kuwa sawa

Vipi Rwanda watakubali hili kwao?
 
Kwani ni vibaya kuwaondoa wahamiaji haramu nchini ambao hawana vigezo vya kuishi .. Kama Trump anapambana na wahamiaji haramu kutoka Mexico mpaka kufikia hatua ya kujenga uzio mrefu kwa ajili ya kuzuia wasizamie Marekeni, Je Trump ni mnyonge au Marekani ni taifa la kinyonge?

Bro ni hivi, hakuna taifa linalotaka kua na wahamiaji haramu nchini kwake ambao hawatambuliki kisheria na kiuhalali.. Kua na wahamiaji haramu kunasababisha

1. Uhatari wa usalama wa nchi hasa kwenye maswala ya ujambazi, smugglers, catels

2. Upungufu wa ukusanyaji wa mapato ya nchi kutokana na wahamiaji haramu hufanya kila kitu cha uzalishaji mali nchini kiharamu so inapelekea kukwepa kodi kwa kuhofia usalama wao

3. Baadhi ya wahamiaji kujipenyeza mpaka level kubwa ya uongozi wa nchi na kupelekea kutishia usalama wa nchi

4. Nchi kuingia kwenye mkumbo wa usafirishaji wa watu kimagendo jambo ambalo ni kinyume na sheria za kimataifa haki za binadamu.

Hiyo ni mifano michache tu mibaya ya uwepo wa wahamiaji haramu kwenye nchi yoyote ile duniani.. Sasa hakuna mjadala kwenye kupigia kelele hili swala na wala sio unyonge kupigia kelele hili swala.

Angalia Kongo, South Africa zilivyojaa wahamiaji haramu na matatizo yanayotokea kwenye hizo nchi

Chief, you're preaching to the choir naujua fika uhamiaji haramu na athari zake.

Mimi sijatetea uhamiaji haram nimepoint out inferiority waliyonayo wabongo solely kwa wanyarwanda na wakenya.

Unataka kusema wahamiaji haramu ni wanyarwanda tu? Kwamba mnyarwanda yeyote nchini ni haramu? Kwanini kelele siku zote ni kuhusu wao na si wacongo au wamalawi ambao wamejaa bongo na wengi kuliko hao wanyarwanda? Mbongo akisikia Rwanda au Kenya analoa tepe tepe.
 
Uraia pacha haufai, ni sumu

Hizi ndo akili zenu mitanganyika.

Screenshot 2025-01-21 055418.png
 
Chief, you're preaching to the choir naujua fika uhamiaji haramu na athari zake.

Mimi sijatetea uhamiaji haram nimepoint out inferiority waliyonayo wabongo solely kwa wanyarwanda na wakenya.

Unataka kusema wahamiaji haramu ni wanyarwanda tu? Kwamba mnyarwanda yeyote nchini ni haramu? Kwanini kelele siku zote ni kuhusu wao na si wacongo au wamalawi ambao wamejaa bongo na wengi kuliko hao wanyarwanda? Mbongo akisikia Rwanda au Kenya analoa tepe tepe.
Wewe unaweza kuishi Rwanda bila vibali?
Yaani tunyamaze ikiwa tunaona watu wasio raia wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi uko Tabora
Watu wana pata kazi hadi kwenye majeshi
Halafu unasema ni unyonge
Wanyonge ni hao wanaoingia nchi ya watu bila kufata taratibu
 
Kwani nchi gani haina wahamiaji? Dunia nzima watu wanahama ni kawaida wala si kitu cha ajabu na wakivunja sheria wanadhibitiwa kama raia wengine wowote so sio kitu cha kuogopa kwa miaka hii
 
Mleta Mada anatokea ngara hahahaha yeye mwenyewe sio mTanzania,,, hakuna mTanzania halisi anaetokea ngara... ingependeza uhamiaji iwaajiri watu kama huyu mketa mada, maana mwizi lazima amjue mwizi mwenzake.
Mimi ni Mtanzania
Mababu na mababu ni Watanzania
Karibu Ngara
 
Wewe unaweza kuishi Rwanda bila vibali?
Yaani tunyamaze ikiwa tunaona watu wasio raia wanamiliki maelfu ya hekari za ardhi uko Tabora
Watu wana pata kazi hadi kwenye majeshi
Halafu unasema ni unyonge
Wanyonge ni hao wanaoingia nchi ya watu bila kufata taratibu

Wanafanya yote hayo wakiwa wahamiaji haramu?

Yani mtu anatoka Rwanda leo afu kesho anajiunga na jeshi, does that even make sense to you?

Nyie watanganyika mna habari mtu akiwa naturilized ana haki zote kama mtanzania mwingine au mnadhani kila mgeni atakua mgeni milele?
 
Kwani nchi gani haina wahamiaji? Dunia nzima watu wanahama ni kawaida wala si kitu cha ajabu na wakivunja sheria wanadhibitiwa kama raia wengine wowote so sio kitu cha kuogopa kwa miaka hii

Waelekeze hawa watanganyika walioharibiwa akili na ujamaa sababu wao hawasafiri wanadhani watu wote duniani hawatoki kwao. Mbongo akifika mbali ameishia Dar.
 
Serikali inatakiwa iweke kitengo cha uhamiaji katika stesheni ya treni kigoma. Warundi wengi huja mikoa ya Dar,Moro,Dom kwa kupitia usafiri wa treni na pia mabasi kama Adventure,Saratoga na Aifola.
 
Wanafanya yote hayo wakiwa wahamiaji haramu?

Yani mtu anatoka Rwanda leo afu kesho anajiunga na jeshi, does that even make sense to you?

Nyie watanganyika mna habari mtu akiwa naturilized ana haki zote kama mtanzania mwingine au mnadhani kila mgeni atakua mgeni milele?
wewe mtusi/mhutu inabidi ukamatwe na idara ya uhamiaji urudishwe kwenu huko Gisenyi
 
You sound defeated mentally already sababu ya unyonge wenu.

Rwanda yenye population ya 10M wawazidi watanzania mliopo zaidi ya 60M? Hata nchi yao nzima ihamie bongo haiwezi wazidi watanganyika kwa idadi.

Wakati wanazaliana nyie mtafunga vizazi hadi wawazidi?

Rwanda yenye uchumi mdogo, population ndogo, ardhi finyu, a landlocked locked country iweze kuipiga TZ na nyie mnatishika? You jut proved my point mitanganyika ni minyonge mnahofia nchi ambayo haipo on your level even remotely.
. Ivi unajua Congo imeizidi Rwanda vitu vingi kuanzia uchumi, population mpaka ukubwa wa nchi, ila angalia inavyowasumbua hao Congo.. udogo wa nchi si hoja mzee, kikubwa ni jeshi la nchi lina uwezo gan kijeshi kuanzia vifaa vya kisasa , idadi ya wanajeshi wenye mafunzo bora za kimedani including special forces na vile vile uwezo wa kukabiliana na hatari au kunusa hatari zinazoweza jitokeza(ujasusi)
Chief, you're preaching to the choir naujua fika uhamiaji haramu na athari zake.

Mimi sijatetea uhamiaji haram nimepoint out inferiority waliyonayo wabongo solely kwa wanyarwanda na wakenya.

Unataka kusema wahamiaji haramu ni wanyarwanda tu? Kwamba mnyarwanda yeyote nchini ni haramu? Kwanini kelele siku zote ni kuhusu wao na si wacongo au wamalawi ambao wamejaa bongo na wengi kuliko hao wanyarwanda? Mbongo akisikia Rwanda au Kenya analoa tepe tepe.
Wewe unaita inferiority complex lakini mimi nadhani ni seriousness juu hao wanyaruanda hasa ukiangalia walivyomigrate kwenda Congo na wanachokifanya sasa ivi pale Kongo.. Walienda kama wakimbizi wakakaribishwa na wenyeji( native Congolese) ila wanachokifanya sasa ivi pale Kivu nadhani unakiona..
Ilifika hatua mpaka mkuu wa majeshi ya Congo alikua mnyaruanda, na baada ya kutimuliwa akarudi Rwanda akapewa tena cheo kikubwa jeshini na serikalini mpaka leo yupo Rwanda na ni kiongozi mkubwa tu..!!! Leo tukisema waangaliwe na wafatiliwe unaita unyonge mkuu..

Sio unyonge ila hao watu ni threat sehemu yoyote waliyopo kutokana na historia yao
 
. Ivi unajua Congo imeizidi Rwanda vitu vingi kuanzia uchumi, population mpaka ukubwa wa nchi, ila angalia inavyowasumbua hao Congo.. udogo wa nchi si hoja mzee, kikubwa ni jeshi la nchi lina uwezo gan kijeshi kuanzia vifaa vya kisasa , idadi ya wanajeshi wenye mafunzo bora za kimedani including special forces na vile vile uwezo wa kukabiliana na hatari au kunusa hatari zinazoweza jitokeza(ujasusi)

Wewe unaita inferiority complex lakini mimi nadhani ni seriousness juu hao wanyaruanda hasa ukiangalia walivyomigrate kwenda Congo na wanachokifanya sasa ivi pale Kongo.. Walienda kama wakimbizi wakakaribishwa na wenyeji( native Congolese) ila wanachokifanya sasa ivi pale Kivu nadhani unakiona..
Ilifika hatua mpaka mkuu wa majeshi ya Congo alikua mnyaruanda, na baada ya kutimuliwa akarudi Rwanda akapewa tena cheo kikubwa jeshini na serikalini mpaka leo yupo Rwanda na ni kiongozi mkubwa tu..!!! Leo tukisema waangaliwe na wafatiliwe unaita unyonge mkuu..

Sio unyonge ila hao watu ni threat sehemu yoyote waliyopo kutokana na historia yao

Congo is unstable way before Rwanda toka enzi za uhuru. Congo wenyewe tu wanapigana, kuifananisha Congo na TZ ni makosa makubwa.

Rwanda haituzidi kwa military budget, ubora wa jeshi, ardhi, watu, uchumi or anything. TZ Haina sababu yeyote Ile ya kuiogopa RW zaidi ya woga na unyonge. RW Akacheze anakochezaga.
 
Back
Top Bottom