BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Kaka mpira basi Nini?naona hujui kilichotokea leo,sijakuona jukwaani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua taratibu za Raia wa kigeni kuingia yoyote?Usalama wa taifa ni nini?
Watanzania wangapi wapo kwenye hizo nchi? You lack exposure and it shows. Mna mawazo mafupi sana.
Hivi unajua taratibu za Raia wa kigeni kuingia yoyote?
Wewe ulienda nchi Gani bila vibali au passport ukawa salama?
Huna unalolijua ndo maana unaropoka ujingaNimekuuliza watu kuongea Kinyarwanda ambacho kipo closely related na kirundi na Kiha kinakupa uhakika gani ni wahamiaji haramu?
Wabongo wanaishi London downtown na wanaongea Kiswahili, hiyo ni proof kwamba ni wahamiaji haramu?
Pole mwana bado kichwa kinaumaHuko nimejipa break Kwa Sasa Niko huku na jukwaa la siasa
Huna unalolijua ndo maana unaropoka ujinga
Kwahiyo wewe umemzidi CDF aliyesema Kuna hadi viongozi wa ngazi za juu ambao uraia wao una mashaka?
Wanyarwanda ni wengi hasa Kagera na hawafati taratibu zozote, hapo Dar wapo na hawana vibali
Pole Kamanda, yote kayataka Hersi Said kumfukuza kocha Gamondi,angesubiri kidogoSana tu kamanda
Hayo makabila uliyotaja ya mpakani hayajaajiriwa katika nchi hizoWabongo wapo hadi omba omba Nairobi. Malawi, Zambia, Uganda kote huko wabongo wamejaza. USA, Canada, UK kote wabongo wapo.
Mipakani watu kuingiliana ni kawaida. Wamasai, wakurya, wajita, waha, wanyakyusa, wamakonde nk wapo TZ na nchi wanazopakana nazo. Sijui nini Cha ajabu hapo.
Huyo CDF wenu aliropoka hadi Leo kashindwa toa proof hata moja.
Mitanganyika kinachowasumbua ni ushamba na inferiority complex. Mkisikia Rwanda, kanchi kadogo kama ghetto na Kenya mnaloa hapo hapo. Ujamaa uliwapa unyonge wa maisha mmekua kama maboya.
Hayo makabila uliyotaja ya mpakani hayajaajiriwa katika nchi hizo
Kwa hiyo na sisi tusiongee kiswahili tukiwa nje maana watasema ni wahamiaji haramu
Hii dunia ni ndogo sana leo na watu wanazunguka kila sehemu iwe kikazi na hata biashara
Hao watakuwa labda ni wafanyabiashara maana nchi imefunguka na dunia ni kijiji
Hata watz wamejaa nchi jirani na kila leo wanahamia iwe Kenya, Ug, kwa Mr Slim na kwingine
Kama ni wakimbizi mbona wanadakwa kila leo
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesima hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Wabaguzi na hawajafungua machoMitanganyika mishamba haijui Hilo.
Mimi nimekutana nao Dodoma,umakini ni muhimu jamani nchi yetu sote hii,upole wetu usiwe sababu ya kupenyeza wapelelezi kila kona kwa kigezo cha upole na upendo
wengi ni spies. Wamejaa kila kona.Kuna dada alikuwa muhudumu wa bar Nyamongo. Mara kaenda Arusha. mara Dodoma. Kuna siku akaonekana Gisenyi.
Ukimuuliza anasema kwao Babati. Ila ana tabia tata sana
Siku zote kuna unayoyajua na usiyoyajua,usiyoyajua yaache kwa wanayoyajua.Spies kwa lipi hasa? Kwa umuhimu umuhimu gani au siri gani iliyopo Tanganyika? Huko bar ndo anapata siri za nchi?
Wabongo waliopo nchi jirani hadi huko Ulaya na America nao ni spies? Inferiority complex ya mitanganyika inashangaza sana.
Shida sio wanyarwanda kupenyeza serikalini. Shida ni ccm kuluhusi kadi za ccm kuwa kigezo cha kupata ajira. Hata warabu wanapewa aridh, badari ili tu watowe hela za kusaidia ccm kubaki madarakani.Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesima hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa
Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa
Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport
Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini
Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao