Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Siku zote kuna unayoyajua na usiyoyajua,usiyoyajua yaache kwa wanayoyajua.
Fungueni akili na tafuteni exposure. Mna mawazo mgando sana, dunia ya Leo kuona kila mgeni ni spy ni uzwazwa wa kiwango cha lami na inferiority complex ya juu. Hizi ndo effects za ujamaa bado mnawaza kijima.