Sijatetea uhamiaji haram nimepoint out inferiority complex ya wabongo against warwanda na wakenya.
Mbongo akisikia mrwanda au mkenya analoa hapo hapo kama huyu mleta uzi. Mtu kuongea kinyarwanda sio sababu tosha kwamba ni spy au anahatarisha usalama wa taifa. Umeangalia documents zake? Unajua status yake nchini?
Hizi kelele husikii against wamalawi, waganda, warundi nk. Ni kwa warwanda na wakenya, hii ni inferiority complex iliyojengeka kwa wabongo wengi ipo mitaani kote kila mtu anajua. Ukiuliza nini chanzo hasa hakuna jibu lenye tija zaidi ya story za mitaani.
Mbongo akiambiwa kuna kazi anashindana na mkenya au mrwanda hawezi enda hata kwenye interview analoa hapo hapo. Dunia ya leo ni kijiji kuogopa watu sababu ya uraia wao ni ujinga, mtu hawi spy au kuhatarisha usalama wa taifa au kuwa mhamiaji
Your content
www.jamiiforums.com
haramu sababu tu ni mgeni.