DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sio wabongo wote bali wachache wasiojiamini. Mtu yupp nchini kwake anaogopa mrwanda na mkenya, huyo mtu ataweza kufanya nini kwenye taifa kama marekani ambalo Kuna mamilioni ya raia kutoka karibu kila nchi

Kenya watanzania wapo tena wanafanya shughuli za chini mno, Uganda wapo, Ila kwetu unasikia hizi kelele. Kama vibali wanavyo sioni shida, na waliozaliwa hapa pia sioni shida. Wabongo tumekkua na akili dumavu

Word. Wewe akili kubwa ndo maana uliwapata wake na masuria zaidi ya 400 wa viongozi wa nchi kabisa.
 
Sio wabongo wote bali wachache wasiojiamini. Mtu yupp nchini kwake anaogopa mrwanda na mkenya, huyo mtu ataweza kufanya nini kwenye taifa kama marekani ambalo Kuna mamilioni ya raia kutoka karibu kila nchi

Kenya watanzania wapo tena wanafanya shughuli za chini mno, Uganda wapo, Ila kwetu unasikia hizi kelele. Kama vibali wanavyo sioni shida, na waliozaliwa hapa pia sioni shida. Wabongo tumekkua na akili dumavu
Kila mtu abaki nchini kwao hatutaki maelezo ya kifalsafa wala ngonjera.

Baki kwenu Congo, ukikaidi utarudishwa kwa nguvu tu na tutakuvunja ugoko kwa virungu.

Hatuwezi kuacha nchi yetu iwe shamba la wakenya na waburundi au sijui warwanda. Bakini kwenyu mpambane huko na Kagame. LIMENI.

Hakuna vya dezo, baki kwenu. Hili sio shamba la bibi.
 
kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Leo hii kijana na nyoka wa kikwete Lugumi ame fall in love na binti wa kinyarwanda ili hali jamaa ana mke tena ni binti wa bosi mstaafu wa polisi...

Vita ya kikwete na wanyarwanda haiwezi kumpa ushindi kikwete coz vijana wake wana tamaa kubwa ya ngono...

Lugumi kesha kwenda na maji...

Kwa taarifa yako wanyarwanda wapo hadi ikulu
 
Ila huwezi sikia wabongo wakilalamika warundi wanahatarisha usalama wa taifa. Wapo comfortable kabisa ila the moment wamesikia mtu ni mrwanda wanaloa hapo hapo. This proves my point wabongo wana inferiority complex against warwanda nothing more.
Na wakongo wamejazana wengi ila sijui kwanini malalamiko ni kwa Rwanda na kenya tu🤔
 
Huku kanda ya ziwa hasa hapa runzewe shamba la genye wapo wengi hasa mademu wa ki tutsi from Rwanda

Tunaruka nao na hawajifichi id zao kwanza ukimuona tu unajua huyu ni mnyarwanda!
 
Wewe mwenyewe DP yako ni picha ya PK that speaks volume.

Nimekwambia a quick search hapa hapa JF utapata majibu yako maana hii topic tumejadili mara kadhaa.

Siku zote wamatumbi mnapolalamika uhamiaji haramu huwa mnaongelea Rwanda na Kenya sio nchi zingie. Husikii hizi kelele kuhusu Malawa, Burundi au Congo ambao raia wao ni wengi zaidi nchini halali na haramu.

Mleta uzi kasikia mtu anaongea kinyarwanda tu kaloa, we unaona hiyo ni akili?

Kuna watu wanasema wanaishi na warundi ila husikii kelele kuhusu warundi.
Topic zote zilizopo humu zinapinga uhamiaji Haram na sio ushindani wa ajira na ni ajira ipi hapa bongo mrwanda anaweza shindana na mtanganyika akashinda?

Kuhusu DP Haina uhusiano wowote na wahamiaji Haram wanyarwanda Ina uhusiano na kagame na kwakuwa najiamini ninaweza kumkubali kagame lakini nakapinga vikali wahamiaji Haram bila kujali ni mrwanda au mrundi sema inferiority complex ndo inakufanya uone sisi kukipinga uhamiaji Haram kama tunawaonea
 
Wamasai ni kabila la Kenya au Tanzania?
Wamakonde ni kabila la Tanzania au Msumbiji?
Wamasai na wamakonde awajawai kulazimisha kuingizwa kwenye sekta za umma kwa lazima,na wala awajioni wao ni bora na wenye hadhi kuliko wengine,awana roho mbaya za kinyama.
 
Nyie mmekatazwa kwenda kwao?

Mtu kuongea kinyarwanda inamaanisha ni mhamiaji haramu?

FYI: Ha language, also called Kiha, Ikiha or Giha. It is closely related to the Kirundi and Kinyarwanda spoken in neighbouring Burundi and Rwanda, and belongs to the Niger-Congo family of languages.[4

Mitanganyika mna inferiority complex ya ajabu sana. Kitu chochote kile cha nje mnaogopa na kuwa wanyonge ghafla ndo maana mwendazake alikua anawaita wanyonge maana ni wanyonge kweli. Mkisika tu Rwanda au Kenya mnaloa. Jielimisheni dunia imekua kijiji kila kitu kinashindaniwa globally nyie endeleeni na unyonge unyonge wenu hadi mnyongwe.
Umesema kweli ila kwa maneno makali. Hupepesi hata macho munzhehe?
 
Back
Top Bottom