DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

DOKEZO Raia wa Rwanda wanapenyaje hadi kujazana nchini?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Zamani ilikuwa ni kawaida Kwa sisi watu wa wa mkoa wa Kagera kuishi na Wanyarwanda na wamesoma hapa Tanzania na Sasa wana kazi kubwa serikalini na likizo Huwa wanaenda kwao Rwanda kusherehekea na ndugu zao huku, na likizo zikiisha hurejea Tanzania katika ajira za serikali kabisa

Wanyarwanda wameingia kinyemera Kwa kuhonga kupata kitambulisho cha mpiga kura,
Wengine wamesoma hadi vyuo vikuu na mikopo wa elimu ya juu wamepata, yàani raia wa kigeni anasomeshwa na Kodi zetu na vijana wetu wanakosa mkopo.

Vyombo vya usalama kwanini hamfanyi operation za mara Kwa mara kubaini wahamiaji haramu.

Wanyarwanda sio wageni waziri kuingia kwenye Taifa letu bila taratibu na vibali au kujulikana,

kila siku serikali za Congo, Burundi na Uganda zinawalalamikia sana kusababisha maafa, mauaji na kipenyeza vikundi vya waasi wanaokesesha raia amani

Nilishituka Kuna kipindi Niko zangu Tandahimba huko Niko bar napata safari lager, nikasikia mabinti wahudumu wanazungumza Kinyarwanda, wao walidhani sijui kumbe me natokea Ngara ni jirani Yao.
Hii ilinishtua yaani mtu kavuka Rwanda mpaka na kutembea zaidi ya km 2000 na hajakamatwa

Hii ni hatari Kwa usalama wa Taifa letu, watu kuingia nchini bila kutambuliwa na vibali maalumu au passport

Wanyarwanda wamejaa hapa nchini, hadi wanapenya na kupata nafasai nyeti serikalini

Nadhani serikali na Jeshi la Uhamiaji waingie kazini, kama kipindi cha Kikwete wengi waliogopa na kurudi kwao
Sina hofu na wanyarwanda,hofu yangu kubwa ni hawa magabachori,waatabu,wahindi na wachina kuendelea kujipenyeza hadi kwenye siasa za nchi hii,hao ndio hawafai kabisa tuwakatae.
 
Binafsi nilienda kwenye mgahawa mmoja usiku kuchukua chakula take away, nikawakuta vijana wanaangalia taarifa kwenye simu yao iliyokuwa inazingumzwa na mwanajeshi wa Rwanda kinyarwanda, waliposhituka nipo karibu yao wakazima ghafla NAMI nikajifanya sijaelewa chochote.
Huenda tusione hatari kwa sasa, lakini baada ya miaka mingi kukawa na hatari kubwa sana endapo hali itaendelea hivi
 
Wabongo wengi hawawapendi sana raia wageni wa Kenya na Rwanda, nafikiri kuna hali fulani ya wivu mbaya dhidi ya hizi nchi. Kila wakati utakapozungumziwa uhamiaji haramu reference kubwa zaidi ni Wanyarwanda na Wakenya.
Wageni waje na vibali
Huwezi kujua Nia ya mtu
Kama wana Nia njema kwanini wasije kihalali, waingie Kwa njia za panya.
Wanyarwanda wametesa Congo, Burundi na Uganda Kwa kuingiza vikundi vya waasi
Huwezi kwenda Rwanda kirahisi bila vibali
Tuchukue tahadhari
 
Sio wabongo wote bali wachache wasiojiamini. Mtu yupp nchini kwake anaogopa mrwanda na mkenya, huyo mtu ataweza kufanya nini kwenye taifa kama marekani ambalo Kuna mamilioni ya raia kutoka karibu kila nchi

Kenya watanzania wapo tena wanafanya shughuli za chini mno, Uganda wapo, Ila kwetu unasikia hizi kelele. Kama vibali wanavyo sioni shida, na waliozaliwa hapa pia sioni shida. Wabongo tumekkua na akili dumavu
We ulienda lini USA bila vibali ?
Acha ujuaji Kwa wenzetu ukikamatwa wahamiaji haramu Huwa wanazamisha meli na kuwauwa
 
Bora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Inasikitisha sana mkuu
 
hakuna tatizo lolote waruwanda na waburundi kuishi ndani ya nchi yetu, ila kupata vitambulisho na vya tanzania na kupewa Passpoti ni jambo la hatari sana linalotokana na mfumo wa CCM wa rushwa mbele.
Watusi wanamiliki ardhi ya kutisha hapo Kahama.Kuna kijiji kinaitwa Nuja walijimilikisha nusu ardhi ya kijiji na hakuna wa kuwafanya chochote.Shukrani kwa jeshi la Magereza kulitwaa lile eneo kwa mikong'oto na virungu vya ugoko.
Tabora nako maporini yamejificha majamaa na ng'ombe,ujambazi yamejimilikisha na uchumi na maelfu ya ardhi .Miswahili imekuwa manamba na mitumwa ya hawa pua ndefu kama filimbi.Tuamke.
 
Hii taarifa yako imenisikitisha
Yaani Warwanda wanavusha ng'ombe hadi Tabora, vyombo vya usalama vimelala tu
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Bora wanyarwanda ila kuna hawa kenge wa kutoka BURUNDI aloo wanaingia nchini kama utitiri na wakijua kiswahili wanajiita WAHA,WASUBI,WASHUBI,WAHANGAZA ambapo hayo makabira mawili wanafanana lafudhi na pia wanasikilizana
Kazi kweli
 
Du
Nenda Burundi na Rwanda wamejazana kwao na vitambulisho vya kupigia kura vya tanzania na kadi za Ccm..

Sasa hivi wakiingia Tanzania wanatafuta kadi za Ccm wanasema ukiwa nayo husumbuliwi. Nilienda Hizo nchi nilisikitikia sana nchi yangu kuwa miaka ijayo kama 50 itatawaliwa na Wakimbizi au wavamizi.

Sasa mtanzania Nenda Rwanda uone unavyofuatiliwa kama jasusi
Duh. Na serikali yetu ipo tu!
 
As of 2022, there were approximately 11 million undocumented immigrants in the United States. This number represents about 3.3% of the country's total population. Ndo sembuse hako kanchi kenu.

Hiyo ni US super power number moja duniani ndo sembuse hako kanchi kama choo.
Acha upimbi wa kututusi kenge usie na madoa wewe. Unafurahia uhamiaji haramu unajua impact zake au unaongea tuu kufurahisha genge. Rwandese mna roho mbaya mno.
 
Watusi wanamiliki ardhi ya kutisha hapo Kahama.Kuna kijiji kinaitwa Nuja walijimilikisha nusu ardhi ya kijiji na hakuna wa kuwafanya chochote.Shukrani kwa jeshi la Magereza kulitwaa lile eneo kwa mikong'oto na virungu vya ugoko.
Tabora nako maporini yamejificha majamaa na ng'ombe,ujambazi yamejimilikisha na uchumi na maelfu ya ardhi .Miswahili imekuwa manamba na mitumwa ya hawa pua ndefu kama filimbi.Tuamke.

Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom