Raila atanganza kuunda mfumo wa wananchi utakaokua serikali mbadala

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/199424_a8c542ba0673cb0ff6386644dbcc8a13.jpg
 
Acha ujinga wewe, hasira zako na flustration zako za kukosa kazi na kizunguka barabarani zisikufanye ukavua nguo ukatembea barabarani ukiwa uchi, utadhalilika na kuabika, vigezo vyote vya kidunia vinaonyesha Tanzania ipo juu ya Kenya tena kwa mbali sana katika suala zima la demokrasia na utawala bora, Kenya haijawahi kuipita Tanzania hata mwaka mmoja katika nyanja ya demokrasia na utawala bora tangu nchi hizi zipate Uhuru, kama una ushahidi leta hapa tuone, ni kweli kwamba Magufuli ameanza kupunguza uhuru wa mambo mbali mbali, lakini hata hivyo taarifa iliyotolewa mwaka huu na World transparency International imeiweka Tanzania hatua 11 zaidi juu ya Keny, sasa wewe kwa sababu Kikwete alikua anatuchekea, sasa hivi hatuchekewi tena ndiyo unalinganisha na Kenya?, huna unalojua sema ueleweshwe.
 
Reactions: Oii
Kwa assumption hii mtaishia kuisikia kwenye TV Ikulu ya Kenya.Nimecheka na kukuhurumia at the same time.
 
ukabila utaisha kenya siku mbishi raila atakapostaafu siasa
 
ukabila utaisha kenya siku mbishi raila atakapostaafu siasa
Hvo ndivyo walivyo sema juu ya Tom Mboya 1969 wakamuuwa

Wakasema Hvo wakalenjin Wakagi wa J.M Kariuki Ouko wakawauwa...

Wakasema hvo 1992 wakati wa Matiba FYI

Kenya kumekuwa na Vita baada ya Uchaguzi kutoka 1992 wakati multi partysm ilipoimgishwa.......

1992 in Rift Valley after moi Won again Kalenjins Chases all bantus including my Dad who was a government official in Londiani then and Most Kikuyus!!!...juu Kenneth Matiba nearly won ....Raila wasnt even a major Politician in 1992

In 1997 Kibaki was the chief opposition Candidate there was post election violence then

In 2002 when Kibaki won with Raila support was the first peaceful voting period 2007 we all saw what happened 1100 died ....2013 the county elections were marred by violence and intimidation but less than 10 people died then

2017 ...76 are already dead!!!
 
Unaonyesha una frustrations, lugha zako tu hazifichi nini kinachoendelea kichwani mwako. Rejea comments zako nyingi, ukitulia utajiona ulivyo na matatizo! Otherwise, hautofautiani na RAO!
 
"He said that Nasa would instead push for the formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed".

LOL!! no comment here.
 
Fake news. You always give fair opinion on issues until your heading in this case came from fake news factory by you. Peoples assembly ain't serikali badala but a gathering to correct public views and prepare a working document for among others use it to amend the Constitution as provided through the county Assemblies in the katiba ya Kenya
 
Formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.

Read that in read and translate it for me.
 
Formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.

Read that in read and translate it for me.
Use your brain don't rely on other fake news sources. Google if you need to. You are smart man I will suppose! They been formed before all over the world!!
 
Unaonyesha una frustrations, lugha zako tu hazifichi nini kinachoendelea kichwani mwako. Rejea comments zako nyingi, ukitulia utajiona ulivyo na matatizo! Otherwise, hautofautiani na RAO!
Sawa chopi....now take your shits and eat them cause i dont gve two

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…