nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,056
- 1,296
https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/11/199424_a8c542ba0673cb0ff6386644dbcc8a13.jpg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga wewe, hasira zako na flustration zako za kukosa kazi na kizunguka barabarani zisikufanye ukavua nguo ukatembea barabarani ukiwa uchi, utadhalilika na kuabika, vigezo vyote vya kidunia vinaonyesha Tanzania ipo juu ya Kenya tena kwa mbali sana katika suala zima la demokrasia na utawala bora, Kenya haijawahi kuipita Tanzania hata mwaka mmoja katika nyanja ya demokrasia na utawala bora tangu nchi hizi zipate Uhuru, kama una ushahidi leta hapa tuone, ni kweli kwamba Magufuli ameanza kupunguza uhuru wa mambo mbali mbali, lakini hata hivyo taarifa iliyotolewa mwaka huu na World transparency International imeiweka Tanzania hatua 11 zaidi juu ya Keny, sasa wewe kwa sababu Kikwete alikua anatuchekea, sasa hivi hatuchekewi tena ndiyo unalinganisha na Kenya?, huna unalojua sema ueleweshwe.Hizi ndiyo akili zenu maTZ,ccm itawatawala mpaka YESU arudi....jitu mpaka Leo halioni kinyaa watumishi wote wa tume ya uchaguzi wanateuliwa na rais, madc,marc,wakurugenzi,wote hao kwenye uchaguzi wanashiriki kuipendelea serikali iliyoko madarakan...halafu unakuja hapa kuongea mavi mavi kuhusu demokrasia ya Kenya...hawa wenzetu mwelekeo wao ni mzuri ,wemebakiza step moja tu kuwa na system kama nchi zenye demokrasia ya kweli. Hizi ni changamoto za mwisho mwisho towards the Bright future of their democracy. Tz hama cha mahakama,Hamna cha bunge ,hamna cha serikali ,hamna cha chama tawala ,vyote vinaongozwa na rais na ndiyo mwenye kuwaamrisha mambo ya kufanya.Ndiyo maana hata vikao vya chama vinafanyikia ikulu.Watanzania ni mazezeta kabisa....Big up Kenya!!!!
Kwa assumption hii mtaishia kuisikia kwenye TV Ikulu ya Kenya.Nimecheka na kukuhurumia at the same time.August wakenya 15mn walipiga kura
81% turn out
Juzi Raila kajitoa kwa Kura akaambia wafuasi wake wasiende kupiga kura
Wakenya 38.8% wakapigakura
Kwa akili 81% - 38.8% = ???
42.2% ndio walibakia nyumbani
Ukiongeza na 20% walio kaa kando kwa issue tofauti ambayo sio wakikuyu au wakale kwakuwa
County kama kiambu ilikuwa 94% turnout August na kisumu ilikuwa 84%
Niambie how is Uhuru again my leader??
Hvo ndivyo walivyo sema juu ya Tom Mboya 1969 wakamuuwaukabila utaisha kenya siku mbishi raila atakapostaafu siasa
Unaonyesha una frustrations, lugha zako tu hazifichi nini kinachoendelea kichwani mwako. Rejea comments zako nyingi, ukitulia utajiona ulivyo na matatizo! Otherwise, hautofautiani na RAO!Ameachwa kwa muda mrefu???
Fool
Raila aliwekwa Jela 9yrs kwa kuwa opposition leader!!!
Ameachwa kwa muda mrefu!!
Mnaona hana akili kwa kile anachofanya!!!
This is constitutional and calculated
Niambie sasa hapo amevunja sheria gani ndio awekwe ndani??
Miafrika na akili ya ki dictator kila mahali lakini inataka kuishi kama mzungu!!
The only reason most Tanzanians Hate Raila ni juu ni Rafiki ya Magu
Magu ni dictator huko
Lakini solutions zenu zote za kudeal na Raila ni za ki dictator!!
Mtakaa hapa muone akifanya mema for the opposition supporters mtii
Fake news. You always give fair opinion on issues until your heading in this case came from fake news factory by you. Peoples assembly ain't serikali badala but a gathering to correct public views and prepare a working document for among others use it to amend the Constitution as provided through the county Assemblies in the katiba ya KenyaKama alivyokua ameahidi, kwamba atatoa tamko lililokua limesubiriwa, atangaza kwamba atawakusanya makundi mbali mbali ya kijamii na kuunda mfumo mbadala wa serikali ambao utaongoza hadi siku serikali halali itakapobuniwa.
-----------------------------------------------------------------
Kenya's opposition National Super Alliance (Nasa) has dismissed the October 26 repeat presidential election.
The coalition's leader Raila Odinga, speaking for the first time since President Uhuru Kenyatta was declared winner, termed the election as fraud and vowed not to recognise him and his government.
He said that Nasa would instead push for the formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.
“Today we establish People's Assembly to restore democracy in the country,” Mr Odinga said in Nairobi.
“The People’s Assembly will have the youth, religious leaders, economic interest groups and the civil society.”
Nasa, he said, would present petitions for the establishment of the new outfit to govern Kenya to county assemblies for discussion and adoption.
“The assembly's timetable to be released soon,” he said.
National Resistance Movement
In the meantime, Mr Odinga said, Nasa’s resistance wing (NRM) would embark on vigorous pro-democracy campaign through economic boycotts and picketing.
Mr Odinga cast aspersions on the preparation and conduct of the repeat presidential election, saying it fell short of the standards set by poll laws, the Constitution and the Supreme Court.
Mr Kenyatta was declared the winner by the electoral commission IEBC with over 98 per cent of the votes cast in an election boycotted by Nasa.
But Mr Odinga said IEBC failed to conduct the repeat vote as directed by the apex court and instead the ruling Jubilee government, through county police commanders and its politicians, ran the show.
He claimed numbers were inflated in several Jubilee strongholds to give Mr Kenyatta the win and create an impression that Kenyans took part in the exercise.
Kenya opposition to form 'People's Assembly'
Formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.Fake need. You always giving fair opinion on issues until you heading in this case from fake need factory. Peoples assembly ain't serikali badass but a gathering to correct views and prepare a working document for among others use it to amend the Constitution as provided through the county Assemblies in the katiba ya Kenya
Use your brain don't rely on other fake news sources. Google if you need to. You are smart man I will suppose! They been formed before all over the world!!Formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.
Read that in read and translate it for me.
Sawa chopi....now take your shits and eat them cause i dont gve twoUnaonyesha una frustrations, lugha zako tu hazifichi nini kinachoendelea kichwani mwako. Rejea comments zako nyingi, ukitulia utajiona ulivyo na matatizo! Otherwise, hautofautiani na RAO!