Raila atanganza kuunda mfumo wa wananchi utakaokua serikali mbadala

Raila atanganza kuunda mfumo wa wananchi utakaokua serikali mbadala

Huyu mjinga Raila bado ana fikra zile zake za 1982 coup ,kuchochea machafuko ya 2007/08 na maandamano dhidi ya IEBC ambayo walimwaga damu.Atukome tumechoka na unafik wake na kuharibu nchi ya Kenya kwa tamaa yake ya urais.
Hii inchi sio ya wakikuyu pekee Rao has a large following and it bugs you people deal with it!
 
Kakulia mboga 7 mtoto mayai gari kumpeleka shule kasahau kuwa baba yake alikufa sasa ni yatima anatafuta kifo wa Kenya wambeze uchaguzi umekwisha wajenge Kenya yao
 
Wekeni free and Fair election and no Person from central will ever see that Sit!!!

Kila wakati mnaenda kubadilisha IEBC forms

Kiems Zinatangaza watu 3.75m mnaemda mnaweka 3mn more na Forms zimejaa internet ku prove hiyo !!!

Wezi nyinyi!!

Free and Fair elections na Hamtawai pata kiti yoyote kenya labda county zenu na mnajua hayo
 
Kwanini wasilipwe wacha kuwa idiot

Kuna difference kati ya elected official na appointed official ...smh

Muonaongea nkama hamna akili ....elected official haezi nyimwa mshahara na ako na executive na legislative power mnachosha saa zingine mkiotoa maoni bila kuputia katiba..

Fyi People Assembly is a right guaranteed under picketing !!!

Mnadhani hii nchi ni yenu
Aisee Mkuu Sam matusi ya nini kaka...seriously idiot mimi na sina akili kisa nimeuliza swali...umenijibu swali langu na kunitukana hapo hapo...nwa kama umejisikia poa then all the best
 
Wekeni free and Fair election and no Person from central will ever see that Sit!!!

Kila wakati mnaenda kubadilisha IEBC forms

Kiems Zinatangaza watu 3.75m mnaemda mnaweka 3mn more na Forms zimejaa internet ku prove hiyo !!!

Wezi nyinyi!!

Free and Fair elections na Hamtawai pata kiti yoyote kenya labda county zenu na mnajua hayo
Kenya mnafanya siasa kwa misingi ya ukabila. Kwa hiyo atakayekuwa anashinda uchaguzi lazima atoke kwenye kabila lenye watu wengi. Kwa sababu hiyo siku zote kenya itatawaliwa na Kukuyu na Kalenjin full stop! Free and fair election si tiba ya ukabila! We are very sory for you! RAO pia ni mkabila! Ngome yake ya kisiasa pale kisumu imetokana na kabila lake! Na yeye RAO ni mfungwa wa minyororo ya ukabila! Kamwe huwezi kuwafungua wengine na ukabila wakati mwenyewe umefungwa na minyororo hiyo hiyo!
 
Article 3 (2) of the Constitution of Kenya (2010) states;

"Any attempt to establish a government otherwise than in compliance with this constitution is unlawful"
 
Huwa inabidi kumuacha abwatuke atakavyo maana yule hawezi kuguswa, siku akiguswa itabidi polisi wajiandae kwa mauaji ya kimbari kule Nyanza maana wafuasi wake huwa watavuruga mpaka basi. Yaani wanamskliza neno kwa neno, chochote akisema wanakua radhi hata kufa kwa ajili yake.

Kitu naona hapa ni Jubilee, wanaishi kusubiria kujibu kila anachokisema, magazeti nayo yanakuza sana maana akizungumza tu, kurasa zote za mwanzo zinajaza kile amekisema. Hivyo kwa mtindo huo atawatesa sana, kwasababu wanaishi maisha ya kumsklizia Raila na kumjibu.
Lakini there must be a way of dealing with him. Huwezi sema sababu ana wafuasi aachwe tu! Ameachwa kwa muda mrefu na hii inampa kiburi ya kuendeleza anachofanya, hata kama to the detriment of peace, security and good economy.
 
Anataka kuandaa bunge lake ndani ya nchi uhuru bila sheria na fujo jambo sheria bila uhuru ni utumwa
 
Article 3 (2) of the Constitution of Kenya (2010) states;

"Any attempt to establish a government otherwise than in compliance with this constitution is unlawful"
Mnapoteza muda wenu kwa kujidanganya kwamba Kenya itaweza kuongozwa na katiba isiyokubali na kutilia maanani tatizo la ukabila nchini mwenu, hizo nukuu za vifungu vya katiba havina maana yoyote na wala havitatatua tatizo la msingi, acheni kujidanganya na kuiga mambo yasiyoendana na hali halisi ya nchi yenu.

Kenya ni nchi yenye ukabila wa hali ya juu sana, ni lazima mkubaliane na ukweli huo na mtengeneze mfumo wa uongozi utakaohakikisha kila kabila linalindwa na kuwekewa uhakika kwamba iko siku kabila lake litaongonza nchi hata kama ni baada ya miaka mia mbili zamu yake itafika, kinyume cha hapo, nchi itagawanyika vipande vipande kama ambavyoimeanza kutokea.
 
Ni kweli unavyosema kuhusu tatizo la ukabila nchini Kenya. hili ni jambo ambalo alituonya Rais mstaafu Arap Moi kabla kuondoka kwake mamlakani. Hata hivyo, nina kila imani kuwa ndani ya miaka kama 15 hivi, ukabila hautakuwa tatizo tena, ukizingatia mfumo mpya wa serikali.

unafaa kudownload katiba ya Kenya uipitie kwanza. ipate hapa- The Laws of Kenya

soma sanasana Chapters 11 na 12.

ukiisoma utaelewa katiba ilivyozingatia swala la ukaila kwa kuigawa Kenya katika kaunti 47, kila kaunti ikiwa na serikali yake, ambayo inashugulikia maendeleo katika eneo hilo. Ni vyema pia kuelewa kuwa kaunti zilivyogawwanyika kimsingi ni kulingana na mgawanyiko wa makabila katika maeneo tofauti.
 
Kaka umenichekesha sana, kwamba baada ya miaka 15 ukabila utapungua, ni sawa na kusema baada ya miaka 20 dini zitatoweka Afrika[emoji1] [emoji1] [emoji1].

Kwanza fahamu kwamba makabila ambayo baadae yamesababisha ukabila, yamekuwepo katika jamii zetu miaka mingi zaidi hata kabla ya hizi dini za kigeni kuja Afrika, na hakuna nchi yoyote duniani yenye tatizo la ukabila kama Kenya iliyofanikiwa kuufuta ukabila ndani ya kipindi cha kizazi kimoja, viwili au vitatu, ni mchakato unaochukua muda mrefu sana, Rwanda pale, usione kumetulia ukadhani ukabila umepungua, ukizungumza na watutsi wanatokota ndani kwa ndani, wanasubiri muda muafaka tu walipize, na vivyo hivyo wahutu.

Kuhusu katiba ya Kenya kuwa inasaidia kupunguza ukabila, kwa nadharia unaweza kusema hivyo, lakini kiuhalisia na hali ilivyo sio kweli hata kidogo, tangu Kenya imeanza kutumia katiba mpya, tafiti nyingi zinaonyesha kwamba, ukabila na rushwa vimeongezeka zaidi, hii ni kwa sababu madaraka na mfumo wote wa usimamizi ambao ulikuwa katika malamka ya serikali kuu, mengi yamepelekwa katika gatuzi 47, hii pia inamaanisha kwamba sio tu mamlaka na resources zimegawanywa, bali hata uzembe, rushwa, ukabila na wizi pia vimegawanywa na kukua mara 47.
Kumbuka kwamba kitu kinachopiganiwa na muhimu ni urais wa nchi, achana na habari ya Gavana, pamoja na kwamba NASA imezidiwa na Jubilee katika nafasi zote hizo, lakini wamekubali, ila kiti cha rais pekee ndicho kinacholeta shida, kama Kenya mtaondoa kiti cha urais na kubakisha vyeo vya magavana, bunge, na mahakama, haya matatizo yatapungua sana kama sio kumalizika kabisa
 
Article 3 (2) of the Constitution of Kenya (2010) states;

"Any attempt to establish a government otherwise than in compliance with this constitution is unlawful"
And who is establishing another government???

Nenda sasa chambua picketing kwa Katiba
 
Lakini there must be a way of dealing with him. Huwezi sema sababu ana wafuasi aachwe tu! Ameachwa kwa muda mrefu na hii inampa kiburi ya kuendeleza anachofanya, hata kama to the detriment of peace, security and good economy.
Ameachwa kwa muda mrefu???

Fool

Raila aliwekwa Jela 9yrs kwa kuwa opposition leader!!!

Ameachwa kwa muda mrefu!!

Mnaona hana akili kwa kile anachofanya!!!

This is constitutional and calculated

Niambie sasa hapo amevunja sheria gani ndio awekwe ndani??

Miafrika na akili ya ki dictator kila mahali lakini inataka kuishi kama mzungu!!

The only reason most Tanzanians Hate Raila ni juu ni Rafiki ya Magu

Magu ni dictator huko

Lakini solutions zenu zote za kudeal na Raila ni za ki dictator!!

Mtakaa hapa muone akifanya mema for the opposition supporters mtii
 
Hapa ndipo unafik wao unanuka vibaya sana. Yaani wana hela sana lakini ona wafuasi wao kijinga wamejaa kibera,mathare kangemi wanaishi umaskini mkubwa na wanatumiwa na hawa mabwenyenye kama condoms.
Hizi ndiyo akili zenu maTZ,ccm itawatawala mpaka YESU arudi....jitu mpaka Leo halioni kinyaa watumishi wote wa tume ya uchaguzi wanateuliwa na rais, madc,marc,wakurugenzi,wote hao kwenye uchaguzi wanashiriki kuipendelea serikali iliyoko madarakan...halafu unakuja hapa kuongea mavi mavi kuhusu demokrasia ya Kenya...hawa wenzetu mwelekeo wao ni mzuri ,wemebakiza step moja tu kuwa na system kama nchi zenye demokrasia ya kweli. Hizi ni changamoto za mwisho mwisho towards the Bright future of their democracy. Tz hama cha mahakama,Hamna cha bunge ,hamna cha serikali ,hamna cha chama tawala ,vyote vinaongozwa na rais na ndiyo mwenye kuwaamrisha mambo ya kufanya.Ndiyo maana hata vikao vya chama vinafanyikia ikulu.Watanzania ni mazezeta kabisa....Big up Kenya!!!!
 
Ni Mkenya!

Lakini hii argument ina work pia for jubilee
 
Back
Top Bottom